Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani. Inavyoonyesha WCB hawakwepeki...
9 Reactions
58 Replies
6K Views
Mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi Pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii Jodevi wa ngurumo za upako...
14 Reactions
195 Replies
53K Views
Kwa mujibu wa makubaliano ya Talaka, Nyota huyo wa R&B atabaki na nyumba 3 kati ya 4 walizokuwa nazo, na kiasi hicho cha fedha atalipwa mzazi mwenzake, Crystal Renay ili kuweka usawa wa mali...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Kama unabisha nitajie DJ anayejua kuichezea mixer kuliko huyu
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Mambo vipi wakulungwa? Aisee huyu jamaa anajua sana aina ya mziki anaoufanya amapiano, halafu anachanganya na fuji sijui na makorokoro gani. Anajua sana kucheza na mdundo, hasa Producer wake...
8 Reactions
41 Replies
5K Views
Wanajamvi, Kuna msemo usemao "Beauty lies in the eyes of beholder". Leo naomba nimtambulishe huyu mdada mbongo sijui nimuite MC , sijui Bongo Movie Actress au Bongo Fleva artist anaitwa Menina...
10 Reactions
548 Replies
106K Views
Nyota wa muziki miondoko ya Afrobeats Davido anasema atatoa naira milioni 250 ($608,000; £450,000) kwa mayatima nchini Nigeria baada ya mashabiki wake kumtumia pesa. Mapema wiki hii, mwanamuziki...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
I wish I can have that energy!
7 Reactions
83 Replies
5K Views
Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao. Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani. Huku...
1 Reactions
14 Replies
963 Views
Wakuu salaam, Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo...
6 Reactions
116 Replies
11K Views
Eti wakuu huyu mwamba alipotelea wapi. Alivunja rekodi ya kuwa rapa mwenye kasi zaidi akifuatiwa na eminem. Licha ya kasi pia alitoa nyimbo kali nzuri. Kapotelea wapi?
3 Reactions
12 Replies
688 Views
Msanii wa Muziki na Mwanaharakati wa haki za Watu wenye Ulemavu wa Ngozi nchini, Babu Sikare maarufu kama Albino Fulani amefariki dunia. Habari hizo za msiba zimetolewa katika ukurasa wa Twitter...
12 Reactions
49 Replies
11K Views
Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa...
13 Reactions
20 Replies
2K Views
Samahanini wana jamvi Siku ya valentine day Masanja mkandamizaji alikua akihojiwa kwenye kipindi cha leo tena.. Nilimsikia akisema inawezekana Yy ndo alikua chanzo cha matatzo ya mke wake na...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Baraza la sanaa Tanzania limekiri kwamba hawajapokea malalamiko yoyote ya Harmonize dhidi ya Wasafi na Ziiki, Katibu wa BASATA amekiri Hilo baada ya kufanyiwa mahojiano na East Africa TV ameongeza...
0 Reactions
3 Replies
634 Views
Lemutuz anatwambia eti Marehemu amefariki!!!!
-3 Reactions
119 Replies
27K Views
Inawezekana Rayvanny ana mkwanja mrefu saana. Kama ameweza kukutana na watu kama akina Maître Gims sio kazi rahisi. .
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Chibu kastukia Chezo la kusingiziwa mtoto. Kaona amtolee mbavuni madam Salome. Kuna kitu cha kujifunza Kwa hawa slay Queens wa mchongo.
7 Reactions
209 Replies
24K Views
Huyu jamaa ni Kiongozi wa miaka mingi sana wa bendi ya Zaiko langalanga Nkolomboka (chuo cha wanamuziki wa congo), hii ni kwa sababu almost 95% ya wanamuziki wote wenye mafanikio nchini Congo...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom