KWENYE safari yake ya kwenda mapumziko nchini Kenya mwaka 2001, rubani wa ndege yake binafsi alizimia wakiwa angani na hapo akalazimika kuongoza ndege hiyo kwa dakika kadhaa kabla ya rubani huyo...
Leo nikiwaa home madogo wanaangalia Television nikapitisha macho.
Nikakutana na wanahabari wa Kipindi cha Chumba cha Umbea (ICU) kinachorushwa na Channel ya Magic Bongo QWISA, JUMA LEKOLE NA...
Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amefikisha wafuasi (followers) Milioni 550+ kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Ronaldo ndiyo binadamu wa kwanza...
Msanii wa Next level tuhuma za utapeli kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kijitonyama|Dsm.
📌Habari kamili.
Na Hemedyjrjunior.
👇
Macvoice ni msanii tokea lebal ambayo inamilikiwa na Rayvanny au Vannyboy...
Mwimbaji Nyota wa R&B kutoka kutoka Chicago, ameondolewa mashtaka ya Jinai kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia yaliyotakiwa kusikilizwa Mahakamani leo January 31, 2023.
Umuzi huo umetokana na kifungo...
Mwaka 2017, akihojiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu namna anavyoutumia mtandao huo, Selena alinukuliwa akisema “Huwa nafuta App ya mtandao huu walau mara moja kila wiki sababu Watu...
Lisaa limoja baada ya Klabu ya Manchester United ya Uingereza kutangaza kuvunja mkataba na CR7, mwanasoka huyu amekuwa maarufu maradufu. Hivi Sasa amefikisha wafuasi million 501 katika ukurasa...
12.2.2023 apple music wadhamini wapya wa NFL super bowl half time show, walituletea bonge moja la perfomance,
kutoka kwa Rihanna
Licha ya ukimya kwenye music na kubase sana kwenye biashara ya...
Salaam,
We can all agree that michezo ya television for now imepoteza taste kabisa si kama zamani. Enzi zile hadi wazazi walikua wakifuatalia michezo hii. Watu kama kina bishanga bashaija, Cathy...
PICHA: Watangazaji Brighton Mwemba maarufu Mwijaku na Revocatus Chipando maarufu Babalevo ni miongoni mwa Wageni waliofika Bungeni Dodoma leo February 02,2023 kujionea shughuli mbalimbali za Bunge...
Ndani yake huyu jamaa namuona Godzilla(RIP). Ni ngumu sana mapengo kuzibwa ila nimemfuatilia huyu kijana ni genius wa kuandika.. hatumii nguvu nyingi sana,,hakuna kiki za kijingajinga hakuna...
Malkia wa muziki wa Injili Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G huku akitajwa kuwa ni msanii namba moja wa injili kwa sasa Tz
Album yake ya Secret agenda imetikisa kwa kufanya vizuri sana sokoni...
Najua wengi ni mashabiki wa wasanii fulani fulani wa mziki pendwa wa hip hop ila leo nataka tuangazie kidogo hawa ma underground hip hop.
Katika tansina ya muziki huu wa hip hop tunaona jinsi...
Jamaa Ngoma yake anayotaka kutoa ameiweka kwenye awaiting mda Sana na imepata view laki moja , nahs akija kutoa Ngoma ataunganisha na Hz views ionekane Ngoma imetambaa Kwa mda mfupi na kupiga...
Leo nikiwa napita mitaa ya Sinza kumekucha jirani na geti la Law School of Tanzania nimekutana USO kwa USO na msanii Joslin akiwa anauza chips.
Joslin alitamba sana miaka ya 2005 na 2006 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.