Bondia amefanya hayo siku chache kabla ya pambano lake lisilo la ubingwa dhidi ya Aaron Chalmers, Februari 25, 2023 Nchini Uingereza ikiwa ni siku moja kabla ya kutimiza umri wa miaka 46.
Cheni...
Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’.
Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa...
habarini
Kutoka vyanzo visivyo rasmi nasikia Dallas sahiv anaishi kwa kuomba omba samaki kwenye fukwe za ununio..
Ikumbukwe kuwa alimuhonga wolper BMW X6, plus 39 million Tshs (hapo bado...
Waswahili wanasema mwanakulitafuta mwanakulipata.
Baada ya kusikia kwamba Mbosso anaachia EP yake siku ya Ijumaa tarehe 28, October. Basi kama kawaida mzee wa kuvizia upepo ili abaki kuwa...
Mwanamitindo wa kike maarufu nchini Israeli YAEN COHEL miaka 25 ameilalamikia kampuni Moja ya kichina iliyozalisha midoli ya ngono yenye kufanana sura,umbo na kila kitu na yeye uku akiishutumu...
Uumbaji wa Mungu ni binadamu kupitia madaraja kadhaa ya maisha kabla ya kidogo. Utopia, ujanani na uzee ni madaraja tunayopitia binadamu. Wengine hufariki wakiwa watoto, vijana na kuna...
NI KISASI AU CHUKI...?
"Tulisikia yowe kisha kishindo kikubwa, duuuuf. Baada ya hapo ilisikika sauti ya mwanaume ikipayuka." Ndivyo mashahidi walivyolielezea tukio la kifo cha Anele 'Nelli'...
Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara...
Nelli Tembe alikuwa Mchumba wa AKA, alifariki August 2021. Kabla ya kifo chake alikuwa Hotelini na AKA. INADAIWA ALIKUFA BAADA YA KUJIRUSHA CHINI KUTOKA GHOROFANI.
Baba wa Nelli Tembe Ni mtu...
Mimi nikiwa kama mdau wa viwanja vya starehe vya usiku, nimekuwa nikikutana na supastaa wa Tanzania, Hasheem Thabeet, ambaye anacheza mpira wa kikapu wa kulipwa huko Marekani.
Wadau wa Arusha...
Miss Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka...
Hongera sana kwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kufanikisha jambo kubwa la kutoa mikopo kwa Wasanii wa Tanzania.
Ni jambo la kumpongeza Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Siwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all...
[emoji3516]
Mwaka2002 Mwisho Mwampamba wa Moro alikua mtanzania wa kwanza kushinda shindano la Big Brother Afrika kule kwa Madiba na aliporudi kwetu Morogoro akafanyiwa mapokezi makubwa ya...
Nafikiri ni nature tu vitu viwili vinavyovyutana huvuma saana
Kanumba na Ray Kigosi walivuma saana kwenye bongo movie, sio kwa sababu walikuwa bora saana ila ushindani uliokwepo, Mwenyezi Mungu...
wasomi wote wa Cuba tuonane hapa
Yule mwanamke alijipanga maana nimeona tamaa za wazi kisa kale kajumba ndio analeta vilio na unafiki mitandaoni
salute kwa wasomi wa CUBA .
Habari wapenzi wa muziki mzuri
Aisee anaitwa Chris Brown ni msanii namkubali sana tena. Jamaa alizaliwa katika mji unaitwa Virginia miaka ya 80 mwishoni.Alianza carrier ya muziki tangu akiwa junk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.