Lejendari wa muziki wa Reggae Bunny Wailer, ambaye ni miongoni mwa waasisi wa kikundi maarufu cha Reggae kiitwacho Wailers, ambacho kilimuinua Bob Marley kwenye hadhi mziki wa ulimwengu, amefariki...
Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi...
Tusipoteze muda na salamu
Kwanza kabisa naomba sana habari za kusoma halafu unaanza kulinganisha na marehemu kwenye uandishi sipendi, kama uko hapa celeb kulinganisha mtu na marehemu unakwama...
Inasikitisha sana kale katoto kalikojizoelea umaruufu kwa kuimba nyimbo za injili gospel akiwa mdogo miaka ya 2012 jotta ameweza kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke.
ALIZALIWA JIJINI JOSÉ...
Anzisheni Platform Zenu , Mzitangaze Sana Kwenze Page Zenu Za Social Media .
Tufanye Diamond Utapata Fans Waelewa Hata Milion 2 Katika Fans Wako Karibu Milion 20 Kwa Page Yako Ya Instagram Na...
Wakuu Nimefanya utafiti sana wa jambo hili ningependa kuweka kwa ufupi tu historia ya Disco Tanzania.
Wakuu Richie Dillon alianza u’DJ 1984 Mwanza Alshars Tikkha Disco ndiyo DJ wa kwanza bongo...
Nimeskiliza wimbo wa Champion wa FireBoy DML & D Smoke, kuanzia beat, melody na kila kitu ni kama Champion wa Kontawa, hivi wasanii wetu wanafeli wapi?
Ndo hivyo!
Sijazaliwa kipindi hicho, lakini haki ya nani huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza. Waheshimiwa mliokuwepo kipindi unatoka naomba mnipatie picha tu la vibe Lake lilikuaje maana hiki kibao...
Vanny Boy mtu mbadi kuwa makini..!!
Babalevo ni chawa na lichawa haliwezi kufanya jambo bila ruhusa ya Boss (Diamond)!
Tuanzie hapa!
Unakumbuka jinsi alivyokusumbua kufanya video ya ngoma ya...
Dokta mwaka ulikosea sana mambo yako kuweka kwenye media ulivojitamba unawamudu wake zako mpaka kutuambia mnalala kitanda kimoja wake watatu.
Sasa leo siri zako zitatue kwenye media ndio ulipojiweka.
Umuofia Kwenu wana JF,
Mwana hiphop David Jude Jolicoeur alias Trugoy ambaye alikuwa member wa kundi la Hip hop De La Soul amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Kundi la De la soul ambalo...
Rapa, Mtayarishaji Muziki na Mfanyabiashara Pharrell anachukua nafasi iliyoachwa na Mbunifu wa Mavazi, Virgil Abloh aliyefariki dunia November 28, 2021 baada ya kuugua Saratani kwa miaka 7.
Kwa...
Leo ni sherehe ya harusi ya Haji manara, inarushwa live azam tv sinema zetu.naona vigogo kama wote. Namuona le mbebez anakapila kapila macho tu...na wewe uoe babu.
Uzi tayari
Mbunge CCM Babu Tale amekiri kuwa yeye huwa anavaa Underwear japo hawez kufua. Hii ndio dizaini ya wabunge wa CCM tulionao huku tukitegemea ndio watutungie sheria kwa uzwazwa huu
Mwandishi wa Vitabu na Mtabiri kutoka Nigeria, Ahunna Ejiogu Scarlet alitabiri kuhusu kifo cha Rapa AKA ambaye amefariki baada ya kupigwa Risasi jiji Durban saa chache akijandaa kusherekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.