Charlize Theron mwenye asili ya Afrika Kusini na Marekani ni miongoni mwa waigizaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi duniani
Mwaka 2016, Jarida la Time100 lilimtaja Theron katika orodha ya watu 100...
Wazee wa baraza ambao pia ni washauri wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wameeleza kuwa msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu' ameua bila kukusudia.
Kutokana na hali hiyo, Jaji Sam...
Mi naona muziki wao unaendeshwa na beat zaidi ndio maana unafanywa sana na madj na producers, na sijui kwanini ni nadra kuona wimbo unafanywa na mtu mmoja, ni lazima wajikusanye kuanzia watatu na...
92-year-old media mogul Rupert Murdoch is set to marry for a fifth time.
He recently got engaged to 66-year-old Ann Lesley Smith - just months after his divorce with his fourth wife, Jerry Hall...
Salaam sana wana Jamiiforum
Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.
Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania...
Wakuu kuna wakati ukweli lazima usemwe. Mambo ya kusema mtu aheshimiwe kwa kuwa alikuwa anatengeneza beats nzuri hizo ni heshima za uoga.
P Funk ambaye kiukweli zaidi ya kufanya production ya...
Kumbe dj Sonyorita ni kuku wa kienyeji nimependa shanga zake.
====
Hapa chini ni Mahojiano ya DJ Sinyorita na Gazeti la Mwananchi
Dj Sinyorita kutoka XXL mpaka redioni kwako
Jumamosi, Machi...
Kwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022;
1. Pascal Mayalla
2. MamaSamia2025
3. Etwege
4. johnthebaptist
5...
Boshoo kama upo humu hii ni yako..
Style yako ya kurap na uwandishi bado ni moja tu.
Tangu....atoke Tanga hadi kwenda dar kutafuta tobo bado ni hivyohivyo tu..
Clouds Media wanambeba lakini...
Ndugu zetu waislam, huyu jamaa sasa mshaurini akiwa katika ibada apunguze kukengeuka na ushamba wake usiomuisha. Kwenye inada ya Umra huko Mecca ameonekana akiwa airpods zake. Huu sasa ni ushamba...
Tabibu Year si nikuambia karma iko real ila haukutaka kunisikia ujeuri na ufedhuli wako ikopelekea hivyo wewe ni ulimuovertake yule bwana pale maeneo kutokana na pesa zako then ukamchukua malkia...
Huyu jamaa kwa kipindi kifupi ameweza kuwa mwanamuziki maarufu na mwenye mafanikio duniani. Kafanya shows nyingi, kajaza watu kwenye show zake na mengineo mengi.
Je, siri ya kufanikiwa kwake ni...
Nyota wa sinema Bongo, Jackline Wolper ameibuka na kutoa neno la kifamilia kwamba, mwanaume atakayeweza kumpa kibendi, yeye atamkirimia kwa kumjengea nyumba ya kisasa yenye mahitaji muhimu ya...
Laiti ningekuwa namfatilia huyu jamaa ningejaribu kumsifia na kumkosoa....kwa popote nlipokuwa namwangalia.
Hivi wakuu anagusa zile Level za kina Joti, Idriss,Jaymond, Nalimi , Bro K , MauFundi...
Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana...
Hatari na nusu.
Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha...
Wasanii mbalimbali wamekua wakitoa tungo kuwasifia wazazi wao hasa mama. Hakika upendo wa mama ni wakipekee sana, mama anambeba mtoto miezi 9 anamlea na anavumilia mengi mpaka mtoto anakua mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.