Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho.
Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa...
Mpiga gitaa maarufu wa Kongo Denis Lokassa Kasiya, almaarufu Lokassa ya Mbongo, alifariki Jumanne usiku nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Lokassa, ambaye hivi majuzi alifikisha umri...
HATA LUAMBO ALIIMBA
Naam, Shaaban Dede ni Mwanamuziki wa Dansi aloacha alama kupitia kazi nyingi kwenye ulimwengu wa Dansi, Mungu ampe kauli thabiti huko aliko [emoji24][emoji24].
Mimi...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga.
juma Nature
Juma Kassim...
Rapa Drake ameripotiwa kushinda Dollar za Marekani 🇺🇲 $1.84 milioni (Tsh 4,302,966,531) baada kubeti dau la Dollar $400,000 (Tsh 935,427,506) Ili Israel Adesanya wa Nigeria Ashinde kwa mtoano...
Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza...
Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM.
Sasa...
MSANII wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ ameweka wazi kuwa anatamani kupata mtoto.
Mimi Mars amesema baadhi ya watu wanadhani kuwa hapendi kuwa na mtoto, isipokuwa aliamua kujipa muda...
Wengine walitegemea baada ya kupata waziri anaetokea kwenye muziki basi kuna mambo walau tutaanza kupiga hatua.
Kinyume chake tunazidi kudidimia, Mwana FA kashindwa kusimamia tuzo. Ni vurugu...
IM NOT FINE! Mara nyingi naulizwa “How are you?” Nasema “I’m fine” kusema tu ila sio kumaanisha. But now I admit IM NOT FINE!
Napitia mambo mazito mpaka naona giza tu. Inaumiza kwamba haijalishi...
Wakati ambapo mashabiki wa muziki wa injili tukisubiri kwa hamu kubwa show kamambe ya muziki wa injili inayoandaliwa na kituo cha habari cha WASAFI inayokwenda kwa jina MTOKO WA PASAKA, kumekuwa...
Wasanii wengi wametoka kwenye maisha magumu ya kuishi chumba kimoja familia nzima tena hapo wamepanga. Wengine wametoka mikoani wamekuja Dar hawana pa kulala wanalala stendi, mitaroni, Kariakoo...
Kupitia orodha hiyo inayojumuisha Matajiri 2,640 wakiongozwa na #BernardArnault na Familia yake wakiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 493.9 akifuatiwa na #ElonMusk mwenye utajiri wa Tsh. 421.3 na...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana ametangaza Vipengele vya Wanamuziki wanaowania Tuzo za Muziki mwaka 2022.
Dkt. Chana ametangaza Vipengele hivyo jijini Dodoma ambapo...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama...
KWA sasa rekodi ya Diamond Platnumz kama msanii aliyetazamwa zaidi YouTube Kusini mwa Jangwa la Sahara sio kitu cha kujivunia sana licha kuwa bado anaongoza, hii ni kutokana na ukweli kwamba namba...
Siku zote usipojua nyota yako kali usitegemee kufanikiwa kama usipojiondoa kwa watu watakao tumia nyota yako kutembelea kwenye mafanikio yao.
Wote tunamfahamu msanii T-Pain aliyetamba miaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.