Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

If you want others to be happy, practice compassion. If you want to be happy, practice compassion. By :Dr. Selelih Kitashu (PhD)
1 Reactions
1 Replies
276 Views
Baada ya Mchezaji maarufu wa PSG ya ufaransa Ashraf Hakim kushinda kesi dhidi ya madai ya mkewe kuomba mahakama agawiwe nusu ya mali za Mumewe na kushinda baada ya mahakama kuchukunguza na kukuta...
39 Reactions
335 Replies
16K Views
Baada ya siku chache kupita ambapo mwana hip hop snoop dogg, kusema kwamba hakuwai kuupenda wimbo wa Tupac "hit em up" (diss track). Snoop dogg was said: I didn't like this shit like it wasn't...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini Wana Jamvi. Hii Hali Inapoelekea sio nzuri kwa underground wetu NANDY,maana naona kabisa Kama tunaenda kumpoteza kwenye ramani ya Muziki. Na hii yoote ni kutokana na ujio wa giant...
4 Reactions
75 Replies
7K Views
Ngoma kali za Godzilla. 1.SALASALA 2.X 3.GET HIGH 4.Mama Made It 5.Stay 6.Thanks God ft Walter Chilambo 7.Hard Work ft Chege 8.Kila Wakati ft G.Nako 9.Lakuchumpa ft Joti 10.Sonia ft Juma Nature...
20 Reactions
43 Replies
5K Views
Huyu jamaa Jonathan Majors ni actor anayeijua kazi yake vyema sana. Talent yake ni ya hali ya juu. na amepata deal kubwakubwa ndani ya muda mfupi sana. Sasa mwezi jana alikamatwa kwa ukatili wa...
1 Reactions
7 Replies
719 Views
Habari ya jumapili, wale mnaenda kusali ibada njema. Miaka inaongezeka miaka inabadilika ila sio umri wa wasanii wetu. Huu ni mwaka 2019, wema sepetu ana miaka 28, Hamisa ana miaka 24 ingawa...
35 Reactions
63 Replies
14K Views
AUDIO BATTLE. Ngwair She got gwan vs Mb Dog Latifa. Ipi ilikuwa hatari zaidi wakati ule? Ipi ilikimbiza zaidi wakati inatoka? Kwako ipi ilikuwa noma zaidi? She got gwan vs Latifa. #forgive me.
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Kumbe jamaa ni mchicha mwiba lizuga na ndoa kumbe hamna kitu ni shoga baridi sasa yamemshinda ameamua kubwaga akaolewe kabisa USSR Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
28 Replies
4K Views
EFM to Wasafi FM mara Wasafi FM to EFM mara tena EFM to Wasafi FM kulikoni? Maulid Kitenge tafuta Mfadhili mkubwa ufungue Media yako Kubwa hii hama hama inashusha Value yako kwani ni kama...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwangu naona imekaa poa. Ina faida kwa watangazaji wenyewe ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kuwa na maslahi duni kwenye fani hiyo. Baada ya Efm kuwavunjia Wasafi Tv & Fm kipindi cha...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa...
25 Reactions
160 Replies
13K Views
Thabo Bester, maarufu kama "Mbakaji wa Facebook" amegoma kula chakula cha Mahabusu kwa saa 48 zilizopita akidai kuhofia kuwekewa sumu, hivyo kuomba Mahakama kuruhusu Mawakili wake kumpelekea...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
[Verse 1: Solo Thang] Yeah… Yeah… Hakuna S bila O L bila O Mwingine aitwe’ Thang bila Solo Shupavu’ awajibike kama Apollo Jay, Afande! Ni ukuta’ wapi uchochoro? Hakuna S bila O L bila O Mwingine...
14 Reactions
54 Replies
3K Views
Wakili wa Hakimi kwenye kesi ya talaka na mkewe Hiba Abouk anayejulikana Kwa jina la Barry Roux kupitia official account yake ya Twitter amesema: "Hakimi kwa sasa hana mali yoyote kwa jina lake...
16 Reactions
103 Replies
10K Views
Mwigizaji wa nchini marekani mwenye asili ya uingereza KEIRAN LEE amesaini mkataba mpya wa miaka 3 na kampuni ya Brazzers Kama sehemu ya maboresho ya mkataba wake wa mwaka 2020 uliotakiwa kuisha...
13 Reactions
153 Replies
13K Views
Hii haiwezi kuwa habari mpya sana kwa wengi wetu humu. Makala nyingi zimeandika habari hiyo kuwa ni kweli. Lakini mimi naijumuisha katika moja ya conspiracy theories. Ni kawaida sana kwa mtu...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
WASAALAM Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea...
2 Reactions
112 Replies
10K Views
"Kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo nitakuwa nafanya Kipindi cha Sports Arena ambacho kitakuwa hewani kuanzia saa mbili hadi saa tano asubuhi, lakini pia nitakuwa nasoma magazeti kwenye kipindi cha...
16 Reactions
99 Replies
20K Views
Kuna wakati hapa niliweka mada kuhusu huyu binadamu wa ajabu. Mtu usipomfuatilia utamwona wa kawaida sana, ila ukianza kumsikiliza utagundua ana mambo mengi. Dr. Myles hata alipokuja Tanzania...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom