Aisee hii show ya grammys mwaka huu hatari. Miamba kadhaa ya Rap stage moja huku jay z akishuka verse yake ya karibu dkk 5 kwenye God did.
Jionee mwenyewe hapa chini
Aliyekuwa mke wa Manara inadaiwa alimuibia semaji la wananchi dola za kimarekani elfu kumi na saba karibu million arobaini hivi za kitanzania na kumpa bwana wake wa Kinigeria.
Inadaiwa huo...
Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views...
WagwaNiiiiiii
Ebhna simba mwenyewe chibu deee aka baba zuchu hiki kichupa alichoachia katuonesha kuwa bado ana uwezo wa kuendelea kutawala mziki wa bongo kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa anataka...
Peter Msechu amefanyiwa matibabu ya kuweka puto tumboni ili kupunguza uzito na unene inayoendelea kutolewa katika hospitali ya Mloganzila.
Peter Msechu amefunguka machache kuhusiana na changamoto...
Mimi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.
Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza...
Nawasalimu wanajukwaa wa Jf, kwa wale waliosonga kiumri nawapa shikamoo, kwa wengine ambao sijui rika zenu salamu zangu ziwafikie.
Leo wakati nimetulia nilipata bahati ya kusikiliza oldies, kwa...
1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere
Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya...
Kila mtu hupata wa kufanana nae ukiona hamfanani jua sio wako kama simon na na demu wake wote wanapenda nyoka
Nan anapenda kuangalia hiki kipindi tujuane japo siwapendi nyoka
Jana nilicheki ile video yake ya Zuwena, Diamond Platnumz anaweza kiukweli sio kuimba tu Diamond ni muigizaji mzuri tu tena mbunifu saana.
Kama kuna watu ambao wako karibu naye wa mshauri afanye...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo tarehe: 04 Februari. 2023 ametembelewa na Msanii wa Kizazi kipya kutoka Wasafi, Mboso (Mbwana Yussuf Kilungi)...
Najua wengi tayari tunawajua kina Diamond na Sugu, nisingependa kuwaweka hapa maana hawa wapo levo za ma ivestor na mega business owners, washapita stage za kuhaso, kwa sasa wanaweka chao aidha...
Wakuu, mnakumbuka ile pisi kali nene, ina umbo zuri alilorithishwa na mama yake, slay queen wa Instagram bibi Sanchi ama Sanchoka?
Basi bibie huyu kumbe alibadili dini baada ya kuolewa na Alhaj...
Habari za muda huu jf members , Poleni na Covid19's fever
Let's us Go back to our topic.
Katika Sanaa huwa ni nadra Sana kutokea wasanii wawili au zaidi kuwa na aina moja ya Sanaa ambayo...
Hii tribulation imekua kama onyo kwa wasanii wabana pua wote.
Nadhani ule ubishi wa nani anafaa kupewa crown ya Hip-pop umeisha hakuna cha Young lunya wala young nani, hakuna anaeweza kubattle na...
mwanamuziki wa siku nyingi wa hip pop balozi dola soul kahojiwa jana na kituo cha tv cha DIZZIM TV,amesema ametoa nyimbo mpya iitwayo kombora na ni audio pia amewaasa wana muziki wa kitanzania...
Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz.
Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango...
Yule mtumishi wa Mungu bwn Munishi ameweka wazi juu ya issue yake ya kurudisha gari alilopewa kama zawadi na "Nabii" wa Arusha.
Mapema week hii Munishi alikuja hadharani na kuongea kimafumbo...
- Longido moja hiyo....
- Halafu huyu mama nilijua atakufa... Badala yake mtoto ndio kachomwa knife...
- Kikao cha mirathi kijijini Engikaret Longido...
- Kuna wadau wanaponda eti...
Huyu ni mwanasiasa ambaye kwangu Mimi ana sifa karibu zote za mtu kuwa Rais. Haidhuru ningekuwa mzungu ningesema, He is potentially presidential material.
Ana maono( vision) kiu ya kufanya mambo...