Najua Jf umu kuna watu wa kila aina, wengi wa habari wa mbea nk naomba mtueleze mnaofahamu.
Uyu Dj anae treand na Video zake akipiga miruzi, mara Anasema Friday.
Mwishoni mwa mwaka huu...
Mrembo matata nchini ambaye ni tajiri na ana connection na mamilionea wengi wa uingereza na marekani, sasa amepanga kuwekeza kwenye strippers club ili watu wapate burudani.
Awali inasemekana...
Well,kama kama heading inavyojieleza..nadhani SI mimi peke yangu anaedhani kua Kendrick Lamar ha deserve hype anayopata,..jamaa WA kawaida Sana..TENA SANA..for the first time namskiza jamaa...
PHIL COLLINS IS 72 TODAY
Golden Oldies is wishing English Singer, songwriter, multi-instrumentalist, and actor Philip David Charles "Phil" Collins a happy birthday today (born 30 January 1951)...
Kupitia Ukurasa wa Instagram (Insta-Story) Wa Star Muziki Africa Na C.E.O Wa Label Ya "WCB Wasafi" SIMBA [emoji881] diamondplatnumz [emoji881] Ame-Share Picha Iliyoonesha Mkataba Kwa Ufupi...
Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.
Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni...
Huu mtandao tumeuvamia kwa mbele hasa kwa wasanii wetu wa afrika specifically hapa bongo.
Tunawafaidisha zaidi wao kuliko tunavyofaidika sisi. Yani msanii unajitapa video yangu ipo namba 1...
Naandaa uzi maalumu kwaajiri ya wapenzi wa muvi kali za hawa jamaa wa hip hop jina tajwa hapo juu wanaopatikana You tube
................................................................
Hii ndiyo my Summary ya ALICHOKISEMA Mke wa zamani wa Haji Manara leo na Press yake:
1. Sina mpango wa Kuolewa kwa sasa.
2. Sina Mahusiano na Harmonize, ni Rafiki Yangu tu,
3. Story zote za...
Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel.
Je Haji anachapiwa?
Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume...
Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono...
Mkuu,
Lemutuz aisee mungu akuwekee sana msaada wako unaotoa kwa jamii hautaweza kusahaulika unafanya mambo makubwa sana kwenye japo watu wengi hawauoni au ni husuda za watu wenye vijiba vya roho...
Kama msela una kijasho basi watoto wazuri kama Tanasha utawala kwa macho. Wanapenda wanaume wasafi wanaonukia vizuri.
Kama una kikwapa tafuta wa kufanana nae.
Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa...
Bosi wa WCB Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz amejipatia mnyama aina ya nyoka wa kuweka nyumbani.
Katika tangazo lake kwenye Instagram, mwanamuziki huyo alibainisha kuwa siku zote...
Mungu amemchukua mapema sana msanii H Mbizo alitamba na wimbo wake wa Nilonge Nisilonge
Account ya instagram ya msanii riyama ally imeandika
==============
Msanii wa muziki wa kizazi kipya...
Wakuu,
Naona trend ya matukio makubwa ya muziki ya wasanii wengi wanaofanya vizuri zama hizi hasa wanapozindua albums zao wanafanikiwa kufanya matukio makubwa lakini weakness kubwa ni wengi...