Huyu kijana namuona sana mitandaoni, hata hivyo ana wafuasi wengi sana Instagram, ambapo kwa mtandao wa Tiktok ndiyo mtu mwenye wafuasi wengi sana Afrika Mashariki. Juzi ameenda kutumbuiza India...
Huyu ni Mtawa wa Kifaransa, Lucile Randon. Ana umri wa miaka 118 na ndiye mtu mzee zaidi ulimwenguni. Alizaliwa tarehe 11.02.1904.
Marafiki zake wote, na jamaa aliowajua wameshakufa. Yeye ni...
Franco Luambo Makiadi A.K.A Le Grand Mitre (Mwalimu Mkuu) atakumbukwa kwa mengi ila makubwa ni haya yafuatayo;
1. Utunzi makini.
2. Upangiliaji wa nyimbo.
3. Upigaji bora wa solo gitaa.
4...
Ndiyo, nawakumbusha tu. Kila siku utasikia Anko Shamte piga YOPE! Anko Shamte! Ankali wa Taifa! Yaani hadi unatamani kabisa kuoa single mama. Hii si kwa bahati mbaya, kijana anamkubali baba’ke wa...
Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote.
Rushayna amesema alianza kufanya...
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.
Msanii wa kizazi kipya Ambwene Yesaya siku ya leo amafunga ndo na mpenzi wake mnyarwanda na ndio hiyo imefungwa...
Mwijaku amevuka mipaka ya umbea, na amefikia Mahali pabaya kiasi Cha kujaribu kuidhalilisha familia ya Harmonize na Kajala.
Mwijaku anadai Hamo analala na Kajala pamoja na Pau Kwa wakati mmoja...
Promota maarufu Kim & The Boys amefariki jioni ya leo mida ya saa 9 (kwa masaa ya Tanzania).
Jina lake ni Joakim lakini la kiislam alipewa AbdulHakim akijulikana zaidi kwa majina ya "Kim & The...
KAJALA MASANJA: KUZAMA KUZIMU NA KUIBUKA TENA KILELENI.
Moja ya wanawake wanaopaswa kupigiwa mfano kwa aina ya maisha ya ajabu sana ambayo ameyapitia basi ni mwanadada Kajala Masanja...
Inasemekana msanii Harmonize a.k.a Kondeboy anafunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mlimani city.
Inasemekana ndoa ni ya waalikwa wachache sana hata WCB hawajaalikwa.
Mwenye taarifa za uhakika...
Segmund Freud kwenye kitabu chake," Introductory Lectures on Psychoanalysis " anasema "Words and magic were in the beginning one and the same thing and even today words retain much of their...
Baada ya staa mkongwe wa Bongofleva Ambwene Yesaya wengi tunamfahamu kamaAY kutoa mahari nchini Rwanda siku ya February 10,2018 ambapo ndio nyumbani kwa mchumba wake Remy na mastaa wengi kutoa...
Mara baada ya baadhi ya picha kusambaa mtandaoni kuhusu msanii wa muziki Tanzania, Ambwene Yessaya maarufu kama AY, zikionesha amefunga ndoa na mpenzi wake anayefahamika kwa jina la Remmy...
Wewe ni kiongozi wa muhimili wa Bunge.
Wewe ni mbunge wa Mbeya mjini na mama wa familia, binafsi ninakuheshimu na nina amini⁷
kadhalika na Watanzania wote.
Mungu amekujaalia umbo zuri ambalo...
Kwanza hakuna ubishi Zuchu ndio msanii wa kike namba moja East and Central Afrika.
Pili ndio msanii mwenye influence kubwa kwa sasa Tanzania kwenye lifestyle kuliko msanii yoyote yule.
Kila...
Habari Wana JF,
Mimi ni shabiki na mpenzi wa mziki mzuri haijalishi kaimba nani na kwa lugha gani.
Kwangu Zuchu ni msanii mwenye kipaji na sauti nzuri, lakini Leo nataka tuongelee huu wimbo wake...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize amedhibitisha kuondoka kwa wasanii wake wawili Killy pamoja na Cheed.
Kufuatia tangazo hili, Cheed pamoja na Killy wamefuta post zote katika...