Mtanzania Kill Paul ambaye amejizolea mashabiki na umaarufu katika mtandao wa TikTok na Instagram haswa kwa kucheza na kuigiza nyimbo za kihindi akiwa amevalia vazi la kimasai pamoja na mdogo wake...
Wote tunamfahamu Masanja vizuri alivyojilea na kujikuza. Ni mchekeshaji na ndiyo kazi iliyomtangaza. Lakini pia tunamfahamu kuwa ni mropokaji asiye na adabu mbele ya watu na ana matusi na mizaha...
Asisubiriwe mpaka apoe, muda sahihi ni huu wakati bado anashika chati kwenye muziki.
Jux ni msanii alieweza kufanya muziki na kusoma kwa mpigo, anastahili kupewa ajira ya kipendeleo kabisa...
Diamond amechukua vionjo vya ngoma ya Akili ze Brain inayoitwa Regina, akaenda kuomba kushirikiana na nyota mkubwa India mwenye mashabiki mabilioni na sasa kwa kutumia ubunifu wa Akili ze Brain na...
Mwigizaji Angelina Jolie amefungua shauri mahakamani akimshutumu mumewe wa zamani, mwigizaji Brad Pitt kwa kumshambulia yeye na watoto wao kwa ulevi wakati wa safari ya ndege ya kibinafsi, na...
Dar es Salaam. Miaka 72 ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya nne (2005-2015), Jakaya Kikwete imekuwa na simulizi nyingi zinazogusa maisha yake, kubwa ni kutoka kwa mkewe, Mama Salma Kikwete.
Wawili...
Leo 07.10.2022 Mzee Jakaya Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne Nchini Tanzania anatimiza miaka 72!
Je, unakumbuka yapi toka kwenye uongozi wake? Tumtakie maisha mema na yenye baraka tele!
Binafsi namchukulia warumi Kama shujaa kwasababu nimejiuliza maswali yafuatayo.
Ugonjwa wake wa Figo sio kitu kilichokuja ghafla Kama ajali ya bodaboda ulianza polepole hatua kwa hatua mpaka...
Nmefurahi sana baada ya Mandojo na Domokaya kuamua kufanya video ya wimbo wao wa nikupe nini. Wimbo unazaidi ya miaka 19 ila bado unaishi,
Kwa kuutengenezea video leo itasaidia kuwaingizia...
Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana.
Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye...
Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa.
Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa...
Salaam wakuu
Tuongee ukweli, Nasib analalamika eti wakina Konde Boy hawana fadhila kisa kujitoa kwenye lebo yake. Je, yeye alipojitoa kwa Bob Junior akaondoka na jina lake, alilipa nini...
Kayaandika haya
KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!!
Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa.
NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU.
Hili nalo litapita🙏🏿
TUOMBEENI NASI TUNAOMBA.
MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
Hii kwaya Ilivumaga sana miaka ya 90 huko, Nyimbo zao maarufu ni pamoja na
Samson na Delilah, Katika viumbe vyote Ayoub.
Hii kwaya ilijipatiaga umaarufu sana enzi hizo, naomba kujua kama hawa...
Ni miaka kumi na mbili (12) tangu kuanzishwe migahawa hii maarufu hapa bongo, kwa ambao washapata huduma za samaki samaki watakuwa mashahidi juu ya ubora, huduma nzuri na kikubwa ubunifu...
Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aisee, ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii, hadi wanaume amewashinda.
Hii...