Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka...
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Steven Nyerere, ameonyesha kutoridhishwa na hatua ya mfanyabiashara Niffer kumjibu Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, kupitia mitandao ya kijamii. Hii...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msanii mkongwe kiwanda cha Bongo movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema kuwa hakika gonjwa hatari la ukimwei...
Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024
Tukio hilo...
Jacqueline afanyiwa 'send off' akiwa katika maandalizi ya ndoa hapo baadaye. Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi refu.
Kila la heri, watu wanatafuta ndoa hawapati...
Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu...
Bongo bana unaweza kutengenezewa uadui na wengine nawe ukaufanya halisi mpaka kufikia hatua ya kumchukia mtu kweli kwa kweli
Hawa mabinti wawili walichonganishwa mbaya na media uchwara..hivi Leo...
Mchekeshaji Eliud Samwel ameonesha gari alilozawadiwa na Pastor Tony Kapola baada ya kukabidhiwa na Mke wa Mchungaji kama alivyoahidiwa.
Pia, Soma: PICHA: Paul Makonda akiombewa na Pastor Tony Kapola
Nakumbuka enzi hizo wanatajwa walikua warembo wanaosumbua mjini,wapo wapi siku hizi??? Tukumbushane na lyrics hapa chini...
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam, kweli kweli
Thamani zipo...
Hivi wakuu kunamsanii anaemzidi harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wazamani naona hamna kitu sizani hata kutakuja kutokea kama huyu mwamba konde boy bongofleva haimdai hata akifa leo...
Kataa ndoa, mwanenu Makabila yamemshinda sasa anajuta
==
Nyota wa muziki wa Singeli nchini Dulla Makabila ameweka wazi leo kuwa moja ya maamuzi anayoyajutia kwenye mahusiano yake na aliyekuwa...
Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi...
Caren Simba ambaye ni mzazi mwenzie Baraka The Prince afunguka:
"Mimi na Barakah tumekuwa kwa muda mrefu ila aliyekuwa anajulikana ni Naj, wakati yeye yupo na Naj mimi nilikuwa na ujauzito wake...
Bila kumung'unya maneno,
Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika...
Huyu ni mfano wa kijana wa kuigwa katika taifa hili la wenye nchi. Ni kijana anayejitutumua katika kutafuta mafanikio, na kamwe si mtu wa kukata tamaa.
Nimeanza kumfuatilia kuanzia 2016, enzi...
Meneja wa msanii Mario amethibitisha Hilo aliokuwa akihojiwa na Millard Ayo.
Amesema msanii wake huyo alitaka kuchukua uamuzi huo baada ya kuona mpenzi wake ambae pia ni msanii wa bongo fleva...
Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani
Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu
Kawaida ya mwanaume hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.