Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye...
Baadhi yenu huyu Brother sio mgeni kwenu.Wale mnaofuatialia mziki huu wa kusifu na kumtukuza mungu nadhani mnamfaham zaidi.Jamaa anamudu vizuri sana kipindi chake hasa anapochombeza na zile...
Abba Marcus Mayanja, mtoto wa msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleone, kupitia ukurasa wake wa TikTok ameongea kwa hisia kubwa na mashabiki wa baba yake kuhusu changamoto za kiafya...
Technology imekuwa sana na mimi napenda kuchunguza vitu vinavyohusiana nayo.
Hizo nyimbo nilizopaste hapa nimezitengeneza kwa kutumia AI tupu kuanzia lyrics, beat, na vocals
Lyrics zimeandikwa na...
(1) Watukutu: Hapa ni Swed, Puzzo, Salam na KeyDj
(2) Wapayukaji: Hapa ni Doggy One, King Killer na Crazy P
(3) ZdonP: Hapa ni Nash G, Squeezer na Yusuph
(4) BoyG: One man show
(5) Dabble G...
Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa 😉 Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda 😍 leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi...
Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.
Habari wakuu.
Kweli kuna watu wanakula mema ya nchi. Katika harusi iliyofanyika leo jijini Mombasa, Diamond Platnumz amelipwa Bil 2.3 kwaajili tu ya kuperform kwenye harusi hiyo.
Kwa wale wenye...
Habari Wakuu,
Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo...
Wanaijeria waanza upya kurusha madongo kwa Burna Boy wakidhihaki muondoko wake tata akiwa jukwaani
Wanaijeria wamedai kuwa muondoko wake akiwa stejini unafanana na wa G*Y huku wakidai shutuma...
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na...
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnass ajue kuwa Nandy alikuwa Dem wa Ruge.
Sasa mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show zimekuwa nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.
Sasa namtizama Nandy...
Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa
Anaimba takataka tupu!
na wanaopenda nyimbo Zake tofauti na nilizo orodhesha...
Super bilionea toka Mombasa, Imran Kholsa, ameendelea kuthibitisha kuwa pesa kwake si tatizo, akigeuza harusi ya mtoto wake kuwa tukio la mwaka
Ni baada ya kutenga kiasi cha dola 1,350,000 (sawa...
Mods, mukiona inafaa muiunganishe na thread ile kuu.
waendesha mashitaka leo wameongeza shitaka la kuendesha gari lisilokuwa na bima katika mashitaka yanayomkabili Chenge kwenye ile kesi yake ya...
Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli...
Hoyce Anderson Temu, aliyezaliwa Machi 1978 katika Hospitali ya Mount Meru mjini Arusha. Alianza safari yake ya masomo katika Shule ya Msingi Matemboni Old Moshi mkoani Kilimanjaro na kuhamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.