Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka...
17 Reactions
242 Replies
19K Views
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Steven Nyerere, ameonyesha kutoridhishwa na hatua ya mfanyabiashara Niffer kumjibu Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, kupitia mitandao ya kijamii. Hii...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msanii mkongwe kiwanda cha Bongo movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema kuwa hakika gonjwa hatari la ukimwei...
4 Reactions
128 Replies
43K Views
Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi!
18 Reactions
95 Replies
14K Views
Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024 Tukio hilo...
11 Reactions
72 Replies
3K Views
Jacqueline afanyiwa 'send off' akiwa katika maandalizi ya ndoa hapo baadaye. Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi refu. Kila la heri, watu wanatafuta ndoa hawapati...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu...
6 Reactions
243 Replies
53K Views
Bongo bana unaweza kutengenezewa uadui na wengine nawe ukaufanya halisi mpaka kufikia hatua ya kumchukia mtu kweli kwa kweli Hawa mabinti wawili walichonganishwa mbaya na media uchwara..hivi Leo...
8 Reactions
100 Replies
23K Views
Mchekeshaji Eliud Samwel ameonesha gari alilozawadiwa na Pastor Tony Kapola baada ya kukabidhiwa na Mke wa Mchungaji kama alivyoahidiwa. Pia, Soma: PICHA: Paul Makonda akiombewa na Pastor Tony Kapola
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakumbuka enzi hizo wanatajwa walikua warembo wanaosumbua mjini,wapo wapi siku hizi??? Tukumbushane na lyrics hapa chini... Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Thamani zipo...
39 Reactions
264 Replies
39K Views
Hivi wakuu kunamsanii anaemzidi harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wazamani naona hamna kitu sizani hata kutakuja kutokea kama huyu mwamba konde boy bongofleva haimdai hata akifa leo...
5 Reactions
82 Replies
2K Views
marketer nguli Kelvin Twisa weekend hii ameuaga rasmi ukapera na kufunga ndoa na bi Eleonor...
5 Reactions
212 Replies
73K Views
At their peaks, Ed Sheeran vs The Weekend nani hatari zaidi? #forgive me
4 Reactions
107 Replies
5K Views
Kataa ndoa, mwanenu Makabila yamemshinda sasa anajuta == Nyota wa muziki wa Singeli nchini Dulla Makabila ameweka wazi leo kuwa moja ya maamuzi anayoyajutia kwenye mahusiano yake na aliyekuwa...
1 Reactions
7 Replies
775 Views
Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi...
10 Reactions
57 Replies
2K Views
Caren Simba ambaye ni mzazi mwenzie Baraka The Prince afunguka: "Mimi na Barakah tumekuwa kwa muda mrefu ila aliyekuwa anajulikana ni Naj, wakati yeye yupo na Naj mimi nilikuwa na ujauzito wake...
7 Reactions
28 Replies
10K Views
Bila kumung'unya maneno, Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika...
23 Reactions
163 Replies
18K Views
Huyu ni mfano wa kijana wa kuigwa katika taifa hili la wenye nchi. Ni kijana anayejitutumua katika kutafuta mafanikio, na kamwe si mtu wa kukata tamaa. Nimeanza kumfuatilia kuanzia 2016, enzi...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Meneja wa msanii Mario amethibitisha Hilo aliokuwa akihojiwa na Millard Ayo. Amesema msanii wake huyo alitaka kuchukua uamuzi huo baada ya kuona mpenzi wake ambae pia ni msanii wa bongo fleva...
2 Reactions
60 Replies
12K Views
Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu Kawaida ya mwanaume hata...
5 Reactions
53 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…