HARAKATI KAMILI ZA MACK DIZZO & UGLY FACES KWENYE GAME YA BONGO FLEVA KABLA YA CHID BENZ KUITAWALA "ILALA"
kiukweli mimi kama mack dizzo ni mtoto wa ilala pure kabisa...
Harakati na mishe...
TAARIFA KWA UMMA
Ndugu MTEGANDA HUSSEIN almaarufu "MTEGANDA",
pichani, ametoweka jijini Mbeya tangu tarehe 25 December,2024 majira ya saa saba usiku.
MTEGANDA alikuwa jijini Mbeya kwaajili ya...
Mjukuu wa Bakhresa, Zayed, hivi karibuni amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na maisha yake ya kifahari na ubunifu katika sekta ya biashara. Katika video aliyoiweka mtandaoni (X, Zamani Twitter)...
Msanii toka Canada The Weeknd alietambulishwa na Drake kwny industry ya mziki ameweka record ya kuwa msanii wa kwanza wa kiume kuzoa tuzo 8 katika tuzo za chat kubwa duniani (BBMAS)
The Weeknd...
Aisee leo wakati nikipita mitaa ya Youtube nikakutana na ngoma ya always on time, nikajikuta nasikiliza collabo karibu zote za Ashanti na Ja Rule.
Aisee zimenirudisha mbali sana nikiwa primary...
Wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.
Kama...
Tony Atlas kutoka kuwa mcheza mieleka maarufu duniani na kufilisika hadi kukosa sehemu ya kulala, Jamaa alikua ni kati ya wacheza mieleka (wrestlers) wakubwa duniani na akatengeneza pesa nyingi...
Juzi kuna memba aliweka uzi kuwashirikisha wanajukwaa kuwa Vunjabei anahisi kama anaenda kufilisika ila hakuwa na uhakika yote ni sababu ameona maduka yake kama yanapumulia Gesi na mengine...
Wakuu
Uchawa unavuka boda sasa
==
Msanii wa Hip Hop, Madee, kupitia Instagram, amemtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kwa mashabiki wa Arsenal kwenye mechi ya jana, Desemba 27 dhidi ya...
Kwa wale mnaofatilia show ya wallpaper startv mtakua mnamfaham huyu jamaa..mie binafsi sijamkubali huyu mshkaji naona hana swagga na maujanja ya kuwepo pale...pia hata mwonekano wa kistaa hana...
I. Hapa TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar) tunao kwa MAELFU ya watu wenye tabia mbovu PENGINE KUMZIDI p.didy (za kuwadhulumu watu wengine kingono).
II. Wengi wa waathirika huishia kunyamaza kimya...
Hello!
Leo ndio ile siku ya kujua wasanii waliofanya vizuri katika tasnia ya muziki Tanzania kwa mwaka 2024.
Tuzo hizi zimeandaliwa na wanachama wa jf ku represent jukwaa letu hili la jamii...
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita...
Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua
Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
Yeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema
Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu
Ila Wahaya Wana dharau sana...
Hivi kwa sisi ambao tayati tumefika miaka 38 bado tunajitafuta na tunaonekana kama wazee, Hivi kama ukitoboa labda na miaka 45. Unaweza ukarudi kuwa kijana kabisa ukisingatia diet, mazoezi na...
Nime kuwa nikiona picha za huyu gwiji wa muziki katika eneo hili la E.Africa akiwa hospitalini kwakweli hali yake inasiktisha.
Kwani amepatwa na nini?
Pia Soma: Mtoto wa Jose Chameleone: Baba...
...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"......
Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini.
Nyota huyo wa Mziki...