Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Huyu jamaa hana jipya zaidi ya kukopy mahubiri ya mchungaji Dunstan Maboya. STEVE (anzia 4:56) DUNSTAN MABOYA (Sikiliza 0:30) TUMEKUSTUKIAAAA cha kuiga! huchekeshi bali unajichekesha
12 Reactions
95 Replies
21K Views
Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200. Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk. Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama mnavyomuona huyu mwamba, inaonekana ana hali mbaya sana, inamaana wale mliokua mnamtumia amchafue Ruge na Cloudz. Mmemtema au?
14 Reactions
91 Replies
12K Views
If you were a fan of Isidingo then you must have watched Tyson who was Katlego's brother and Lincoln Sibeko's brother in-law. Sadly this renowned South African producer and Actor succumbed to...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Familia ya dudu baya (msanii) mtoto wenu anaitwa Wille Yupo analala nje coco beach amedata Kwa kulinda privacy sitoweka Picha yake . Huyu Kijana anatumia Bangi, Pombe , na uchafu mwingine...
26 Reactions
119 Replies
6K Views
Wambea wa Jf Nimeisikilza hii habar mara 10 na sjjapata jibu. Nilivoelewa n kama Joan apendi martha kuwa au kuwasiliana na mama ake. Mlioelewa Joan n rafiki wa martha Joan n mtoto wa martha? Joan...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Aliyekuwa msanii wa Kundi la muziki la 'One Direction', Liam Payne, amefariki dunia akidaiwa kuanguka kutoka baraza la Ghorofa ya Hoteli aliyokufikia huko Argentina, Jeshi la Polisi...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Ambha anadai kwamba alifanya production lakini hakutoboa akawa ameamua kufunga studio aachane na muziki maana nyimbo zilikuwa hazipigwi na hapati fedha. Sasa akiwa ashaamua kufunga studio, asubuhi...
21 Reactions
185 Replies
5K Views
Kuna video moja nimeona ambayo mchungaji mmoja simjui akimzungumzia swala la muimbaji wa injili matha na Joan kuwafuma wakifanya usagaji yeye matha alikiri kuwa ni kweli ni walikuwa kwenye...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi. Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa...
2 Reactions
74 Replies
81K Views
wana Jamvi, Ni suala la kushangaza sana kwa takribani ya miaka mitatu sasa, tumesikia vifo vingi vya wasanii wa Twanga pepeta. Tumekosa sana waburudishaji ambao walizikonga nyoyo zetu. Ni njia...
8 Reactions
277 Replies
52K Views
Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa...
12 Reactions
249 Replies
8K Views
Mchungaji aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja katika ukurasa wa Facebook Mchungaji anadai Martha Mwaipaja anajihusisha na vitendo vichafu vya usa**ji) visivyokubalika ndani ya jamii ya...
8 Reactions
140 Replies
8K Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni GenC na mtangazaji kutoka Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya...
1 Reactions
6 Replies
416 Views
Habarini Huyu jamaa nasikia anamiliki king d auto spares, huenda labda anamiliki king d hotel ya sinza Hizi pesa nyingi watu wanazipataje wakuu.🤔mtu mwenyewe haendani na pesa anazomiliki, mtu...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Salute Jina Bruce Lee sidhani kama ni jina ngeni kwa mtu yoyote mwenye umri kuanzia miaka 100 mpaka 10, hivyo haiana haja kumzungumzia kua ni nani hasa.! Bruce alikua mwalimu wa kung fu na...
43 Reactions
117 Replies
21K Views
Tazama sehemu ya performance ya Msanii Diamond Platnumz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za CAF 2024 Marrakesh, Morocco Pia, Soma: Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Hasheem Thabeet Diamond Samatta Kanumba Kuwapata vijana Kama hawa sio jambo jepesi.
4 Reactions
20 Replies
734 Views
Producer Shedy Clever anadai kuwa ana nyumba yake kubwa anayojenga japo hijakamilika kwa 100% ila ni nyumba ya kisasa, nyumba hiyo anasema itakuwa kubwa yenye vyumba 4 na studio ndani,garden...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…