Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa...
Ikiwa ni siku chache toka, Nuh Mziwanda aachie video ya wimbo ‘Jike Shupa’ ambayo inaelezea jinsi alivyoishi na ex wake Shilole, Shishi hajapendezwa nayo hasa kwakuwa imemlenga moja kwa moja...
Wakati bado tupo kwenye shamra shamra ile couple ya wendawazimu flani hivi amazing imeibuka kusikojulikana na kuanza kumwaga mchele kwenye kuku, koh koh koh majogoo na matetea wakaanza kudonoa...
Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner
Pia, Soma...
Huwa sishangai wala kustushwa kabisa hata chembe ninaposikia msanii mmaekani mweusi kakutwa na kesi fulani.
Maishani unapopanda kitu fulani tegemea kukivuna.
Wamarekani weusi wengi sana...
"Hivi karibuni nimeumwa nusu nife, nimemshuhudia Mungu kwa macho yangu akinirejeshea uhai, hili ni funzo hata kupona kwangu bado nashangaa sijui imekuwaje. Kuanzia leo nafuta kila kitu kibaya...
Wadau,hii picha nimeingalia mara tano nakujikuta kana macho yangu yananiambia huyu ni gwiji la Fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kitama) Ali Remtulla...nimejikuta nashangazwa na hilo pozi lake mbaya...
https://www.instagram.com/reel/DDik26boAQ2/?igsh=aTVva3FldHozbmRw
Najua wengine mnashangaa Rayvanny na Mwamposa wapi na wapi.
Rayvanny ametoa album na kuna wimbo yupo na Mwamposa.
Usiku alikuwa...
Jioni hii kumetokea ngumi kati ya Juma Lokole na Stan Bakola chanzo cha ugomvi ni juma kwenda kupinga kuwa kajala hawawezi rudiana na Harmonize huku Stan Bakola akipigania kajala kukubali msamaha...
Msanii wa muziki na Mtunzi wa wimbo wa 'Jambo Bwana' maarufu kama 'Hakuna Matata' kutoka Kenya Ted Kalanda Harrison amefariki Dunia Septemba 17, 2024
Taarifa ya kifo cha Msanii huyo...
Mwanamke aliyefungua mashtaka kuhusu wasanii maarufu Jay-Z na Sean "Diddy" Combs kumbaka alipokuwa na umri wa miaka 13 mwaka 2000, amefunguka kuwa sio nyuso zote anazikumbuka vizuri kwenye...
Msanii wa Bongo Records aitwae Daz Baba ambae alitoa nyimbo kali kama Nipe tano, umbo namba 8, wife nk.
Alituletea album classic ya Elimu Dunia kinachosikitisha ni kwamba hajawai kufaidika na...
https://fb.watch/wsOtDrl5Cu/?mibextid=ff4enFATZKjxhjKN
Msanii Mkongwe wa Muziki wa Rhumba Africa Mwana Mama Mbill Abel @mbilia.bel amewasili Tanzania kwaajili ya Tamasha la Bibi Titi Memorial...
Miaka kama minne iliyopita B-hits ilikuwa kati ya studio zilizokuwa zikitoa hits nyingi chini ya pancho latino mafia na hammy B.
Mtakumbuka ngoma kama
Bado nipo nipo - FA
Dakika moja tu - FA ft AY...
Timu ya mawakili wa Lil Durk iliwasilisha ombi mahakamani, wakitaka rapa huyo apewe kifungo cha nyumbani. Timu hiyo ilitoa ofa ya dhamana yenye thamani ya $3.3 milioni (sawa na takriban Tsh...
Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja
Dr. Jose Chameleon aliivuruga...
Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.