Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii. Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter. Humo ndani j...
7 Reactions
131 Replies
6K Views
Mwijaku amewajia juu baadhi ya Wakenya wanaoonyesha chuki na dharau kwa Diamond Platnumz na wasanii wengine wa Tanzania. Kauli yake imefuatia taarifa za kuvunjika kwa show ya Diamond usiku wa...
0 Reactions
4 Replies
726 Views
Drake anakila kitu ambacho mtu mweusi yoyote anakuonea hila ukiwa nacho. Drake sio Mmarekani, mama yake ni mzungu, hajakulia katika maisha magumu, mademu wanampenda, muziki wake upo global, ana...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu, Kama mnavyojua kuwa tuko mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 na hivi karibuni mtandao wa kusikilizia muziki ambao una makao makuu yake huko USA, umetoa orodha ya wasanii kutoka Tanzania...
3 Reactions
1 Replies
764 Views
Tayari another man down
48 Reactions
192 Replies
11K Views
Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea...
17 Reactions
96 Replies
12K Views
Baada ya Rapa na mfanyabiashara, Billnass kumzawadia mke wake, Nandy, gari la kifahari siku ya kuzaliwa kwake, sasa ni zamu ya mtoto wao kupata zawadi ya gari. Kupitia mtandao wa Snapchat...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa 1.Bongo DSM na Prof Jay 2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa 3. Machoni...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Msanii Baghdad aliwahi kusema kuwa wazo la kipindi cha The Bartender lilikuwa ni lake na mwanzo wazo lilikuwa TheCounter au The Bartender na alilisajili COSOTA na kubaki na hatimiliki yake...
12 Reactions
94 Replies
11K Views
Watu hao ambao ni marehemu ndio watu ambao mimi nawahusudu mno na nikiwaona nikipokuwa mtoto ,kijana na niliwaona japo kidogo nilipokuwa. Mungu azidi kuwarehemu na kuwaweka mahali pema peponi. Amina
2 Reactions
26 Replies
852 Views
Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na maskini, miaka ya nyuma iliyopita Bill Gates akiwa tajiri namba moja duniani alihudhuria kwenye Investment and Finance Conference akaulizwa...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, amekanusha uvumi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Malaika Cute, akisema kuwa ni rafiki yake wa kawaida tu. Mbali na kukanusha hilo, Harmonize amewashauri...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
wa Muziki wa #HipHop, Drake ameanza kuchukua hatua kisheria dhidi ya Lebo ya Universal Music Group (UMG) na Mtandao wa Spotify akidai kampuni hizo ziliendesha kampeni isiyo halali ya kuupendelea...
0 Reactions
4 Replies
484 Views
Nauliza Raymond Mshana yupo wapi, nilikuwa nakubali Sana uwepo wake pale The Switch Wasafi FM, siku hizi naona makelele tu. Kama yupo kituo chochote cha redio naomba mnifahamishe
3 Reactions
22 Replies
2K Views
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 2. Jokate Mwegelo 3. Mimi 4. Freeman Mbowe 5. Mwigulu Nchemba 6. Tundu Lissu 7. Vanessa Mdee 8. Nikki wa II 9. Hamissa Mobetto 10. Adam Mchomvu
33 Reactions
206 Replies
6K Views
Maslahi binafsi: Mimi ni mnazi wa magari.. Hivyo binafsi nampongeza Lugumi kuwa na collection ya maana kwa level zetu za kibongo.. Pili sio mtu wa show off za mitandaoni.. Lugumi anaweza asiwe...
53 Reactions
155 Replies
8K Views
Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike...
3 Reactions
20 Replies
747 Views
Kukaa uchi au nusu utupu katika tasnia ya burudani umekuwa suala la kawaida, hasa miongoni mwa wasanii wa muziki na filamu. Mara nyingi, tunaona picha na video zao wakiwa uchi au wamevaa nguo...
1 Reactions
10 Replies
834 Views
Mvutano Kati ya Drake na Marapa Dmx, Mos Def, Joe Budden na Kendrick Lamar Mvutano kati ya Drake na marapa wengine umekuwa sehemu ya historia ya muziki wa hip hop, ukionyesha jinsi ushindani na...
1 Reactions
8 Replies
414 Views
Msanii maarufu wa Afrobeats, Davido, ameibua gumzo baada ya kutoa tahadhari kali kwa Waafrika walioko ughaibuni na Wamarekani Weusi wanaopanga kuhamia Afrika. Katika mahojiano ya hivi karibuni...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom