Za ndaaaani kabisa
Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media.
Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana...
Hivi karibuni tumemsikia Diamond Platnumz akituelezea kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri wa kwanza duniani
Kwakweli ni ndoto nzuri sana ambayo kila binadamu angetamani kufikia
Napenda...
Kwa takriban mwezi mmoja sasa tasnia ya Muziki nchini Marekani imekuwa kwenye hatua za Back to Back kutoka kwa Mastaa wa Hip Hop, Drake na Kendrick Lamar ambao wamekuwa wakichapana Diss Track kila...
Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa...
Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy, Steven Mukwala Streka refu kuliko gali akiwa safarini kwenda kuwakabili CS Constantine Disemba 8 huko Algeria.
Picha mbalimbali za Jenifa Lopez akiwa ndani ya Kingdom ya Waalab wa Saudi Arabia
Naona kumeanza kuchangamka mambo ni kwa ushahidi Uislam wao waumepereka wapi?
Sikiliza wimbo wa Songa wa 2016 unaitwa "Hisia za Moyoni" amefungua wimbo na hii line Imani ni bora kuliko dini
https://youtu.be/ViQcp8HNqBc?si=yufnMpLDywK2N6Zp
Kama ulitarajia kumuona diamond platnumz mwaka huu akifanya show Dar Es Salaam una kila haki ya kusahau.
Diamond yuko booked mpaka mwaka 2017, hata mwaka mpya atauona akiwa kwenye Tamasha Lusaka...
Salaam wana JamiiForum;
Maisha yanaenda kasi sana, vijana wenzangu ambao tulikuwepo bado vijana wakati hizi nyimbo zinatoka embu leo kajiangalie tena kwenye kioo alafu linganisha matendo...
Kuna hizi ngoma kali mbili za hawa miamba kutoka Congo Associe ya Fally Ipupa na 100 kilos ya Ferre Gola.
Mbivu na mbichi itajulikana. Ni ngoma ya mkali gani imenyooka vizuri upande wako kati ya...
Mahakama ya New York, Marekani imekataa ombi la Msanii, Sean “Diddy” Combs kutaka kuachiliwa kwa dhamana na kuishi katika nyumba binafsi (Appartment) wakati akisubiri kesi inayomkabili ya mashtaka...
Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood.
Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa...
Konki Liquid. Pierre. Mama nakufa. Chii. Ni utambulisho wa mwanamume aliyeishika mitandao ya kijamii wakati huu.
Huyu ni Peter Mollel aliyejizolea umaarufu baada ya video iliyomuonyesha akisema...
Habari Wakuu!
Miaka ya nyuma huyu jamaa alikuwa anafanya kazi EATV kama mtangazaji kipindi Cha Uswazi, lakini pia alikuwa producer wa Ze comedy Show ya akina Masanja..
Amepotelea wapi Sekion...
Story ya Jaymoe na Langa iko hivi kwenye wimbo ya Jipange wa Jaymoe , Kuna mstari jay moe anasema
" Amani kwa kaka voda milionea/ Wastue wadogo zako waache poda wale mmea/
Hapa alikua akijaribu...
Nilifuatilia mjadala wa Harmonize kuombewa na Pastor Tony, na kabla ya hapo kwenda kanisani na Kajala.
Pia huyu anayeitwa Niffer naona na yeye yupo kwenye dini mseto! Kote kote yupo...
Pierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.