Wakuu.
Mwijaku amwaga Chozi :KEKLEO:
Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa...
Msaniii wa muziki wa kizazi kipya (bongo Flava) Abeli Motika alimaarufu kwa jina la Mr .Ebbo mwenye umri wa miaka 37 amefariki dunia mkoani hapa.
Msanii huyo amefariki dunia juzi saa nne usiku...
Nimeipenda sana tweet ya Marioo pale mjini X imekaa kigentleman sana.
Licha ya Millard Ayo na tawi la CCM Clouds Media kumpa airtime na kumbeba Marioo, lakini dogo kakubali mziki wa Diamond ni...
Wana Jf,
Kuna habari za kusikitisha na uhakika kuwa msanii aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea jina lake Hussein Ramadhani, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika...
Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila...
Kabla hajaukwaa Ukuu wa Wilaya, moja ya habari kubwa zaidi kumuhusu Jokate Mwengelo ambayo iliwahi kutikisa bara zima la Afrika, ni pale ambapo jarida bora zaidi ulimwenguni la Forbes lilipomtaja...
Habari za weekend
Kuna mawazo yamenijia kichwani na nimeona niwashirikishe wadau. Ktk sekta ya burdani, kuna baadhi ya mikoa hapa tz sijasikia ikitoa mwanamuziki hata mmoja kulikoni?
Kwa mfano...
Niaje wana JF, Natumai ni wazima wa afya, nipo hapa kutaka kujua wasanii wetu wa Bongo flavour mikoa wanayotoka.
Nikiaanza na mkoa wa Tanga ambao baadhi ya wasanii asiliyao ni uko ni kama...
Wakuu,
Mpaka sasa nimeona msanii mmoja tu ndio ampost akipiga kura, Ali Kiba, wengine nyiiiii!
Mnajua kulamba nyayo tu na kula hela kupitisha ajenda za kipuuzi linakuja jambo la maana huoni...
Ni binti mdogo wa miaka 25 tu. Lakini kwa sasa anamiliki maduka mengi tu hapa mjini
Pia anamiliki Niffer Mall
Pia anamiliki ndinga kali za Gharama kama RangeRover Sport, RangeRover Evoque, na...
Nimeiangalia video mpya ya Diamond. Kusema kweli pamoja na kashfa mbalimbali zinazomuandama huyu kijana,kwenye game anakaza. Ni video fupi lakini yenye quality na message. Ingawa umri wake si...
Wakuu,
Hawa ndugu zetu sijui maisha ya jela yalipoteza directions zao au muziki wa bendi kutokufanya vyema imewagusa pia! Ila wengi tulitegemea baada ya kutoka jela tungepata hits bandika bandua...
Wakuu,
Naona safari ya Korea imetiki! Tunazidi kukuza vijana waliojaa funza na kamasi kichwani!
===
Mwigizaji wa filamu nchini Idris Sultan ambaye pia ni Jaji katika Onyesho la Samia Fashion...
Wakuu,
Naona sasa hivi habari ya mjini ni kuwa chawa tu, mambo ya maana wanaweka pembeni utafikiri kwenye vichwa wamejaza kamasi pekee, ni huzuni!
=====
Khadija Mwanamboka kuipeleka Samia...
Mwanamitindo na msanii wa muziki Tanzania Hamisa Mobetto amekubali kwenda dubai na mchezaji wa soka wa Yanga Ki Aziz kwa siku nne baada ya kuulizwa kama atakubali kenda nae jana katika usiku wa...
Ndio maana mlielezwa muishi nao kwa akili
Bill Gates aliyekuwa tajiri namba moja duniani na mke wake wa ndoa Melinda Gates walitalikiana miaka miwili uliyopitia. Mke alivuna karibu nusu ya...
"Nilipopata kwa mara ya kwanza takribani bilion 3 ,niliwapa mama na baba yangu zaidi ya milioni 400 kila mmoja na mwanamke wangu akaachana namimi kwa sababu nilimpa milioni 13 tu." __ Akon...
Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.