Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania.
Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha.
Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa...
Diva aliolewa na mganga wa kienyeji. Waliachana kwa tafrani kubwa hivi karibuni. Je fundi hiyo hampigi makombora yenye vichwa vya nyuklia? Maana hawa jamaa wana mambo yao. Mpaka Diva ana lala...
Huyu mwanamama sijamsikia muda mrefu...
Nimesikia kibao chake cha Shoga hapa kikanirudisha mbali sana..
Vipi kwa sasa yupo wapi na anafanya nini?
Uzi tayari!
Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio...
Katika hali inayojionyesha nia ya kujenga himaya ya utawala kwa siku za baadae, Spika wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemwaga kiasi kikubwa cha fedha mkoani Tabora ili kumsaidia...
HIZI DEGREE ZA HESHIMA KUTOKANA NA MCHANGO WA MTU KWA TAIFA ZIMEKUWA ZIKITOLEWA KWA WANASIASA TU NCHINI KWETU.
KITU NINICHOJIULIZA KWA NINI FANI NYINGINE HAWAPEWI??
JE MTU KAMA BAK ANASTAILI...
"KULIKONI, Jumatano 4, 2008
Na Gordon Kalulunga, Mbeya
Shehena kubwa ya pembe za ndovu imekamatwa mkoani Iringa ikisafirishwa kutoka mkoani Mbeya kupelekwa Dar es Salaam ili ipelekwe nje ya...
Meneja wa @harmonize_tz #Beauty Mmari a.k.a @mjerumani_255 amtambulisha msanii wa kwanza aliyemwaga wino kusimamiwa na lebo ya Konde Music WorldWide
Kupitia ukurasa wa Instagram meneja huyo wa...
Kwenye maisha haya usisubiri raha kuwajua watu wako wanaokuzunguka bali subiri shida zikupate ndio utawajua watu wanaokuzunguka!
Bado nashangaa sana pamoja na madhaifu ya huyu mtangazaji DIva...
Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui.
Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi...
Habarini,
Ninaposema celebrity entrepreneurs, namaanisha vijana maarufu wanaotrend mitandaoni kwa kuwa na hela nyingi kama kina chief godlove, Ontario/ sirjeff Dennis wa forex, Niffer, na...
Huyu jamaa anatoa Wapi pesa.
Kwenye kipindi cha good morning cha Wasafi FM anasoma magazeti Ila hamalizi mwezi akiwa Tanzania.
Utasikia yupoo USA, German, mara Italy, leo yupo Dubai.
Wakuu huyu...
Mpigapicha na Muongozaji Video (Director) wa Msanii Rayvanny anayefahamika kwa jina la Eric Mzava anatuhumiwa kuiba mtoto wake na kutokomea naye huku akimuacha mzazi wenzake akihaha kumtafuta...
Mkono mtupu haulambwi!
Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili.
Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na...
Bilionea Ned Nwoko kutoka nchini Nigeria amesema huwa hafungi ndoa na Mwanamke ambaye sio bikra. Bilionea huyo hadi sasa ana wake 6 anaishi nao wote hadi sasa.
Maneno hayo alitamka kwenye...
Mpendwa Steve Nyerere,
Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi...
Nilipenda uigizaji wake enzi izo, alikuwa akitumia jina la Nina alipenda sana ku act na Dr. Cheni mara kwa mara, yuko wapi siku hizi?!
=========
Msanii Nguli wa Sanaa nchini, 'Nina'
Kweli mambo yanaenda kasi sana wanabodi.
Sijui Manyangema hapo kale ya 2000s walikuwa wanakwama wapi, kwani nimekuja kugundua walikuwa hawatongozi kabisa, wao ndio walikuwa wanapigwa mistari sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.