Wasalaam.
Nipo kwenye Group Moja la rapa mahiri na storyteller matata Sasa DIZASTA VINA,
Nimesha sikiliza ngoma zake kadhaa kama Vile kanisa ambazo ame jitanabaisha kuwa yeye haamini uwepo wa...
Wakati zoezi la uokoaji likiwa linaendelea eneo la Kariakoo jengo lilipoanguka, Bondia wa Kimataifa wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshiriki katika zoezi hilo.
My take: serikali isimamie hili jambo...
1. Watoto wa mke mkubwa wakiongozwa na mtoto mkubwa Vivian Kikii Wanadai hawajashirikishwa msiba wa Baba yao toka utokee.
2. Ikumbukwe Mzee Kikii alikua na Mke zaidi ya mmoja, ambao Mke mkubwa...
Nipo hapa ufaransa kwa muda wa miezi 5 sasa, leo katika pita pita zangu kwenye ofisi moja nimesikia wimbo wa mdogo mdogo wa Diamond ukipigwa kwenye simu na Mfaransa mmoja mweye asili ya Afrika...
Habarini
Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani...
Muigizaji wa tamthilia na Filamu Nchini, Fredy Kiluswa amefariki Dunia. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa baadhi ya wasanii wakiwemo @jb_jerusalemfilms na Steve Mengele almaarufu Steve...
Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo...
Huyu jamaa nakumbuka aliteka sana kipindi cha nyuma katika soko la mziki wa dansi Yaani kusema kweli aliweza sana kuanzia mchinga sound mpaka kwenye bendi za Manyangau twanga sijui huyu jamaa yu wapi!
Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto...
John Krasinski ametajwa na jarida la People kama "Mwanaume Mwenye Mvuto Zaidi Aliye Hai" (Sexiest Man Alive) kwa mwaka 2024.
Kwa mujibu wa jarida la "People Magazine" kutoka Marekani, Novemba 11...
Jamaa kajipinda kuhakikisha anakuwa na mansion ya Kweli na Bi.mkubwa anajisikia faraja na mashabiki kufurahia matunda yake. Lakini imekuwa negative kwa mashabiki wake.
Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda...
Kila mtu ameumbiwa kifo..lakini sometime nahisi hawa wasanii mambo wanaimbaga yanafanyika/wanayafanya kweli ndio maana mwisho wao hua mbaya..yaani wanaugua kidogo tu chalii...au wengine unaamka...
Hi guys!
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi...
P Diddy Amezidiwa Utajiri Na Jay Z Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Wawe Matajiri Lazima Waende Kwake, Lakini Pia P Diddy Amezidiwa Tuzo Za Grammy Na Jay Z 24 Kwa 3 Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii...
Wakuu,
Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola
===
Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na...
Kwa kweli anacholalamika Zuchu namuelewa sana msanii ameenda sehemu kuinjoi maisha yake anataka privacy na kuinjoi dunia ya kawaida.
Wahudumu wanajaa na camera zao za simu kuomba picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.