Habarini Wakuu,
WCB is a really music classic group currently, ni kundi ambalo linafanya vizuri mpaka mtu unaogopa hata kuwadis wanamuziki wake kama si kuona aibu kuwaongelea...
Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata
Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha...
Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi
Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi .
Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote...
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake
Tazama Video hizi...
Yes!
No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali...
Moja ya shuhuda nzito za kufunga mwaka,ni shuhuda za msaanii wa muziki wa injili Beatrice Mwaipaja akionesha vita vikali alivyokabiliana navyo na huenda ataendelea kukabiliana navyo dhidi ya...
Wakurugenzi wa Wasafi Media, Joseph Kusaga na Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ wanaripotiwa kukosa maelewano kati yao juu ya uendeshaji wa media hiyo inayomilikiwa na wawili hao.
Chanzo ni TRA...
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha...
Msanii wa kimataifa Diamond Platnumz akifanyiwa mahojiano na kituo Cha habari cha DW Swahili nchini Germany amejibu baadhi ya maswali aliyoulizwa na mwanahabari Moja Kati ya swali ni kuhusu tuhuma...
Baada ya kupewa talaka kufuatia madai ya kuvunjika kwa ndoa yake na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzibar, Sadifa Khamis...
Habari wakuu .
Kwanza pole Sana Beatrice Mwaipaja na pole Sana Martha Mwaipaja .
Naanza hivi
Martha Mwaipaja , she was no body hakuwa chochote na ameishi maisha ya kawaida Sana muda mrefu ...
Katika pitapita huko mtaa wa pili nimekutana na hawa wapendanao tena mmmh kweli mapenzi yana nguvu kuliko breakdown. Wastara aliwahi kuwa na uhusiano na huyu Bond kabla hajamkimbia na kwenda...
Wadogo zangu Vera na Hamisa (wote wana miaka 20 ni wadogo zangu), hongereni kwa kujaribu kuimba, sio kwa ubaya ila hamjui kuimba dears, mziki mnaupenda ila wenyewe hauwapendi. Sauti zenu...
"Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema...
Katika pita pita huku mtandaoni nikakutana tu na picha zake nikawa nashangaa kama vile kavaa helmet ila sio....nywele zimekutana na nyusi....
Kikomwe chake kimeenda wapi sasa na kwenye harusi...
Huwa nawashangaa hadi nimechoka kuwashangaa, nawashwa washwa kuwauliza...UNAPOINGIA CELEBRITIES FORUM UNAJUA NI NINI UNAKUJA KUSOMA? au huwa hamuelewi maana yake?kuna mtu huwa anawatag mje kusoma...
Huyu kaka atajuta!!! Usiombe viumbe wa Instagram wakakufungia mtaa ashukuru tu kinge kinawapiga chenga wanamchamba kiswahili, siku nyingine sijui kama atakubali kufanya kazi na wabongo...
Kiki...
Woooiiiiii Erick nawe umekua kama mwanaume wa kinondoni, miaka minne na nusu unapiga tuuu unasuuza rungu tuuu, huyo dem wako hata cheo hapandi utadhani ni mtumishi wa umma kwenye hii serikali...
Na huwa anajua kumwaga chozi kweli kweli, shilawadu wanasema sio chozi la nchi hii.....
Kama hiyo tetesi ni ya kweli itabidi tu arudi migombani akalishe ng'ombe vijana wa mjini wana kazi ya...