Katika wiki hii naweza kusema ndio kipindi kilichopata utulivu mno kweye game la muziki tangu mwaka uanze.
Yani katika kipicha hiki chote kulikuwa na vurugu kubwa sana huko youtube, huyu hata...
Huyu jamaa ni mtunzi mzuri, nasikiliza nyimbo zake ila nimekuja kumgundua nyimbo zake zote kuna vitu vilipita kwake.
Mfano ile nyimbo ya yule mtu wake kufungwa jela. Baada ya kumpata vanessa...
Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau...
Bigbrother ni mchezo mtamu sanaaa, ni mchezo wa kutumia akili sanaa, ni mchezo wenye burudani ndani yake na ni mchezo wa kufunza jinsi ya kumsoma mtu kisaikolojia na hata kumhisi huyu mtu anawaza...
Steve Mengele amesema yeye hajala hela za rambirambi za msiba wa Agnes Masogange bali fedha hizo zimehifadhiwa na wanakamati wake kwani yeye alikuwa ni mwenyekiti tu. Kamati aliyounda ilikuwa na...
Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo.
Ni mzuri
Ana exposure
Si mjivuni
Social
Mambo Safi
Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake.
Baby kabae jua kabisa...
Konde gang ni label ambayo Wasanii wake wamekosa nidhamu sijui kwasababu washakuwa na majina basi wanajiona hakuna kama wao. Au Mipango ya Label ni Wasani wajichomoe akili watrend na kuongelewa...
Sisi watu wa kanda ya ziwa saa nyingine nashindwa kuelewa pale tunapofanikiwa na tukawa maarufu, kosa letu huja tukisha fika Dar. Sijui shida inayotupata huko huwa ni nini. Msodoki ni msanii...
Mwanamuziki mgongwe wa DRC, Aurlus Mabele maarufu kama Mfalme wa Sokous amefariki dunia saa chache zilizopita jijini Paris nchini Ufaransa, huku kukiwa na taarifa kuwa huenda kifo chake...
Sio kwamba Eminem anajiona ni rapa bora sana, HAPANA. Ukweli ni kwamba Eminem ni mwanahip hop/rapa bora kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.
Sio kwamba yeye anahisi hivyo, bali ndivyo ilivyo
Habari wana JF,
Mfanyabiashara wa madini,Jimmy Mcmele,21 amefariki dunia kwa ajali ya gari maeneo ya tegeta dsm akiwa na Benz lake.
Jimmy Akiwa Kwenye Helkopta yake.
AKiwa Na pesa za kutumia...
Mtoto anaitwa Seven Adeoluwa Akinosho
Naaam, mtoto kuingia nchini siku yoyote kukabidhiwa rasmi uchifu.
Hongera dada la dada Vanessa Mdee na shemu yetu
Huyu dada bwana sijui ni kweli anapitia shida ama ni uigizaji?
Kwenye interview moja na Diva clouds alionekana akilia maisha magumu na kutaka kujiua.
Leo hii anaibuka insta akiwa kang'aa
Cheki...
1,Khalid Uledi - Dj KU Times fm, Huyu jamaa anapokuwa kwenye mashine hutaboreka kumsikiliza huwa ana Playlist Bomba kinoma.
2,John Dilinga Matlou (Dj JD-radio one), Huyu naweza Sema ndo...
Habarini wakuu
Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV.
Nimemuona kijana anaitwa Deogratius...
Baada ya kuacha kuangalia bongo movies na series kwa.muda mrefu kuna siku nikaambiwa sasa wapo vyema wamekuja upya ndani ya sinema.zetu Azam TV..wakati huo kuna tamthilia ya Single Mother na...
Leo Nimekutana na battle ya Zuchu na Tems cz wote wamewekwa kwenye category moja za kuania tuzo
Ila Ushabiki tuweke pembeni Zuchu kwenye kuimba aha Mashallah anajua yupo vizur kweny kila angle...
Siku chache tu baada ya kutambulishwa... msanii mwenye talent ya kushangaza aitwae Mac Voice kutoka kampuni ya muziki ya Nextlevel, ameanza kuandika rekodi nzuri kwenye mauzo.
EP yake ya my voice...
Habari wakuu,
Msanii wa Bongoflava Rayvanny juzi amemtambulisha msanii wake mpya wa Lebo yake ya Next Level Music anayeenda kwa jina la Mac Voice. Nimesikiliza EP ya dogo, kiukweli anajitahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.