Hivi hawa maslay queen wanafahamu mbeleni maisha yapoje !
Biashara zao wote ukisikia ni kufungua duka la nguo ndo biashara hata ukimuamsha haraka kumuuliza.
Kutopitwa na wakati mfano smartphone...
Wakuu
Alikiba hapewi sifa anazostahili.
Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste.
Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na...
Wakuu Kazi Iendelee
Msanii Wa vichekesho Dulvan amepost Picha Zake Instagram akiwa Amevaa Brazia(Bra) Kama Tangazo La Brazia.
Vijana Wa Kiume Kwa Sasa Wanatamani Kuwa Wanawake Badala ya Kufanya...
Leo mitandao ya Facebook, Instagram, Twitter, na YouTube imechafuliwa na Media ndogo na kubwa hii yote kuzungumzia Msanii Maarufu zaidi hapa Duniani Rihanna kumufuata Mwanamitindo Mbongo na...
Wimbo wa karantini umeenda vizuri Ile flow ya mziki ,mara Mamaaa nimejikata bila flow ya biti,naona producer aliunga unga tu.
Huu wimbo wa Whozu "mda wetu mkali balaa ''. Mara rayvanny kaja na...
Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau.
Haiwezekani album yenye nyimbo 16. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album. Album imejaa wa Nigeria, Wakenya, wa Ghana na wa South. Ndio...
Au niite mgongano (maana halijawa bifu 100%, ila nadhani nimeeleweka kwa huo msamiati) Mwaka jana mwishoni kumeibuka msuguano (kutoelewana) kati ya snoop dogg na Eminem.
Kumbuka hawa jamaa...
Gwiji wa ngumi za kulipwa, Mike Tyson amepata chanjo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, lakini amesema hakufanya hivyo kwa hiari akieleza kuwa umuhimu kusafiri ndio umemlazimisha...
Ikiwa leo zimebaki siku 90 kumaliza mwaka 2021, ikiwa pia imetimia robo tatu ya mwaka, kuna video nyingi za muziki wa Bongofleva zimefanikiwa kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube kwa kipindi...
Aliye Kuwa Msanii wa bongo fleva na hip-hop One six kwa sasa ameamua kuachana na mziki huo na kuamua kujikita kwenye muziki wa injili.
Msanii huyo amesema mengi amepitia na vikwazo vingi...
Huyu msanii ni natural sana. Anaimba kama hataki ila akitoa wimbo unashika. Sasa kuna huu mpya kautoa nadhani unaitwa "Bia tamu". Bia tamu kweli.
Sasa nampa changamoto au remix au ajifanyie...
Waswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...
Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza...
Baad ya Ay na Mwanfa kuwashtaki Tigo ilikuwa kimbembe jamaa wakiwa wadhamini wakuu wa Tigo fiesta wali wa block kabisa hao wawili kupafomu kwenye tamasha hilo haikujalisha ukaribu wa FA na Ruge...
Kama ilivyo jieleza hapo mtangazaji wa Wasafi fm Divathebawse huenda ni mdau wa JF na kama yupo humu naomba areply hapa au akiona shida ani PM.
Sababu ya kusema hivyo mda huu yupo kwenye kipindi...
Muwe na Ijumaa Njema wadau...
Audio Battle.
......Tukutane hapa kidogo...
Hizi ni ngoma ambazo zilifanya vizuri saana,saana...Miaka kadhaa iliyopita..
Ukiambiwa uchague moja unadhani ipi...
Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa!
Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa...
Rayvanny nae kazubaa sana anashindwa kuiga kama wanavyofanya WCB wako systematic in everything
Label ya Next level Music haieleweki kabisa ni kwamba hana strategy za kueleweka
Ukingia kwenye...
Habarini!
Kama kunamtu anamawasiliano na Mrisho Mpoto, naombeni anisaidie nimejaribu kumtafta Instagram, Facebook na kupitia baadhi ya Media presenters ila sijafanikiwa kumpata
Wakuu kwema? tukutane hapa kidogo...
Jay Moe(juma mchopanga) Pamoja na Afande Sele....Hivi hawa wote wakiwa kwenye kilele cha ubora wao nani hatari zaidi?..
NB: Hasa nyakati zile za Ulimwengu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.