Beyoncé and Jay-Z's twins, Rumi and Sir, were born in June 2017. We know more than two years have passed, but it's impossible to consider the fact that the babies that blew up Instagram with likes...
Yaani inakera sana kuona media zinavyosifia eti muziki wetu umekua wakati hatuna muziki wa kujivunia hadi leo. Wasanii wetu wenye majina makubwa karibu wote kazi yao ni kuangalia muziki unaotrend...
Wandugu leo nilikuwa nafanya reserch zangu kwenye database za UN, Ghafla nikagongana na huyu anayeitwa Willium Samwel John Malecela akikabidhi vitambulisho vyake kwa katibu Mkuu wa UN.
Swali ni...
Sisi wahenga tunaukumbuka vizuri ugomvi wa mwaka 2001 wa Mr.nice na konki..dudu baya walipokuwa na ugomvi mkubwa ikitajwa walikuwa wakimgombe tajiri maarufu..barbou wa mji kasoro bahari..
Nani...
Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye...
Wanabodi,
Watoto wa mjini tunasema Ngoma imepata wachezaji. Ni Kukuru kakara ni vuta ni kuvutee. Hapa Makonda huku Jokate.
Baada ya kufanikisha harambee ya tokomeza Ziro iliyoratibiwa na Mhe...
Diamond Platnumz ni one of the best musician kwa sasa Afrika Mashariki na Kati.
Kumekuwa na mijadala kibao eti Mond alitolewa na yule, akatolewa na huyu na porojo nyingi za namna hiyo lakini...
Mrembo Jokate akifanya mazungumzo na channel moja maarufu huko youtube amedai mwezi ujao atasafiri kwenda Seoul ,South Korea kufanya marekibisho kidogo ya sura yake yaani kuongeza kidoti B.
Jokate...
Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
Nina furaha sana huwa nikimuona Chid anachokifanya kwa sasa, Maana tunajua vyema alipokua ametoka then akapata changamoto na sasa kasimama upya, sio rahisi.
Kama unatembelea mitandao ya Chid...
Sote tunajua katika ukanda wa Afrika, Nchi yetu ndio ilikuwa na mabando ya bei rahisi kuliko nchi yoyote hapa afrika (sub saharan)
Hii iligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa bongo...
Rihanna amuongezea umaarufu Flaviana Matata
ByMtanzania Digital
October 12, 2021
Na Brighiter Masaki, Mtanzania Digital
Mwanamitindo wa Kimataifa kutokea Tanzania anayefanya shughuli zake...
Director of photography killed, movie director injured after Alec Baldwin discharged prop firearm on movie set
By Sandra Gonzalez, CNN
Updated 7:17 AM ET, Fri October 22, 2021
Alec Baldwin...
Kwanza lazima tukubaliane huyu dogo ana kipaji kikubwa sana.
Ndio maana wengi walikuwa wanasubiri ujio wake akiwa chini ya WCB. Na ilitegemewa ujio wake ungekuwa na kishindo.
Lakini bahati mbaya...
Week hii zimevuja sex video za Msanii mkubwa Africans Nigerian singer Tiwasavage ,akiwa na boy friend wake.
Hata hivo bado exactly ajajulikana nana kavujisha, licha ya video kurecordiwa na wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.