Mi nazikumbuka hizi
Mariam
Nakonda kama mnazi kwa mapenzi niliyonayo,
Jina lako nakuota mchana kutwa sili ee
Moyo wanichechemea, mwili damu kauka eee
...na hiki kipande, katika Mola nalilia...
Mwanamuziki Omah Lay kutoka Nigeria amefutilia mbali uvumi kuwa anachumbia aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz, mwanamuziki Tanasha Donna. Alipokuwa kwenye mahojiano baada ya kutua nchini siku...
''MKUBWA FELA ANASTAHILI SANAMU YA HESHIMA.
Usiku wa jana sijalala kabisa, kwani nilizongwa na kumbukumbu ya safari ya Muziki na maisha.
Mbali ya kuwakumbuka watu wengi, Kichwani mwangu ilikuja...
Wakuu Mcheza Kikapu Steph Curry anaekipiga GSW Yuko Tanzania Yeye na Mkewake.
Curry yupo na familia yake kwenye ardhi ya Tanzania katika hifadhi ya Serengeti.
Curry amekuja mapumzikoni pamoja na...
Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya...
hello JF,
huyu msanii wa Kenya anaimba bwana.
Nashauri manager wake amtafutie connection collaboration na US rappers! Lol
Huyu mkaka sio wa level ya Africa!,mkikasirika mtajiju.
ila kubaki...
Narudia Tena. Diamond Platnumz yupo Marekeni anatafuta pesa Ali Kiba yupo nyumbani anabishana na wakina mama [emoji23][emoji23] halafu badae Diamond akisema anahela kumshinda Alikiba mna...
BURNA BOY AKANUSHA NDOA:
SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia...
Sitashau usiku mmoja nikiwa Stockholm, Sweden, Mr Nice alikuwa anashow moja hivi. Kwa kukumbuka sana nyumbani na enzi hizo napenda sana mziki wa Bongo, ukijumlisha na umaarufu wa Mr. Nice wakati...
Mtandao wa #YouTube umeondoa Chaneli za mwimbaji R. Kelly ambazo ni RKellyTV na RKellyVevo ukilenga kujitenga na Mwimbaji huyo ambaye amehukumiwa kwa Vitendo vya Udhalilishaji Kingono Mwezi...
Habari zenu wakuu,
Nashukuru kwa fursa hii huenda kukawa kuna makosa katika uandishi wa majina ya hawa ndugu zangu ambao nawakubali huenda kwa uwezo wao binafsi katika nyanja ya...
Mwanamuziki wa P square, Peter Okoye ameoneshwa kushangazwa na taarifa kwamba mwanamuziki wa bongo fleva Naseeb Abdul alihudhuria harusi yake hivi karibuni nchini Nigeria na kuhudhuriwa na mastaa...
Hasa zile za album yake ya kwanza kama vile "Kidali Po" na "King'asti",
Kwani Beat, Vocal, Mixing na Mastering zimekaa vizuri sana.
Ni profucer na studio gani walifanya zile kazi?
"ILA MAISHA...
Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni
Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8
DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA...
" Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima...
Teddy yuko na beauty fulani hivi amazing, uzuri zaidi ni kuwa she is very intelligent. Mimi huwa namfananisha na Halle Berry sura zao zinafanana. Natamani aigize kwenye movie kama young Halle...
Billionea kijana zaidi Africa mwenye miaka 46 MO, sielewi kwa nini kila nikimuona anavaa smartwatch za kopy za kichina za Apple Watch badala ya original smartwatch za Apple.
Kwa mfano kuna picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.