Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa...
Baaada ya hii post nimeona wasanii wa Kenya wamemjia juu na kumtukana sana,binafsi naona kaongea ukweli Muziki wa Kenya wa siku hizi ni Dead beast, sio kama miaka ile 2000s wakina Prezoo, Nonini...
Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani.
Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi.
Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level...
G.morning everyone,
Me ni big fan wa hip-hop ya bongo, na katika research nlioifanya hii ndo list yangu ya MA mc bora wa muda wote waliowahi kutokea hapa Tanzania
1) Professor J,
Huyu jamaa...
Ebana mimi binafsi sio shabiki wa msanii yeyote isipokua mziki mzuri.
Naamini kuwa Harmonize ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana cha uimbaji ila sasa baada ya kusikiliza hii album yake mpya...
Bilionea huyu tofauti na wengine ana roho ya kipekee katika kusaidia Wasanii (wanamuziki na waigizaji) pia amekua akisaidia watoto wenye matatizo ya kiafya kupitia taasisi yake (Foundation)...
Baba yake alikuwa Brigedia Jenerali tena mshauri wa Rais masuala ya siasa.
Yeye akasoma Mzumbe na masomo ya juu zaidi India. Akawa mkuu wa Wilaya, katibu itikadi na Uenezi CCM kisha akawa Mbunge...
Nyimbo inaitwa what if I was gay kazi ya Eminem akishirikiana na Joyner Lucas ni kazi iliyotoka mwaka 2019.
Uhalisia ni kuwa hip hop ni miongoni mwa sign za umwamba(kiumeni) na inaonekana ni...
Huyu ni mchekeshaji raia wa Kenya Eric Omond na hiyo picha nyingine ni mtoto ambaye amemkana kupita social networks akidai sio wake mpaka pale watakapopima DNA.
Wanaume wakati mwingine tuonage...
Majina ya wanaowania tuzo za Africa Entertainment Awards (AEAUSA) zinazotolewa huko marekani yimetoka. Moja kati ya vipengele katika tuzo hizo ni kipengele cha BEST NEW ARTIST ambapo to my great...
Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya...
Oviemuno oriero A.K.A Muno ni Msanii na Mwandishi kutoka Nigeria Ambaye mwaka huu 2021 December Amepanga kufanya Media Tour yake Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ,Media Tour yake itaambaatana na...
Haya basi mwanasoshaliti na mjasiriamali Zari Hassan ameweka wazi kwamba aliolewa mara moja katika maisha yake. Kulingana na Zari akiwa kwenye mahojiano na Bizz alisema kwamba ndoa yake ilikuwa...
Genius Kadungure aka Ginimbi ni raia wa zimbabwe ambaye alizaliwa tarehe 10 October 1984,Mwaka 2000 alianza kujishughulisha na uuzaji wa mitungi ya gas na kuanza kusupply majumbani,alifanya...
Msanii MalkiaKaren ambaye ni mtoto wa mtangazaji nguli hapa Tanzania, Gadner G Habash ana ujauzito mkubwa tuu ambao hata ukisikia kajifungua kesho wala usishangae. Mwenye mzigo inasemekana ni...
NUKUU YA SHILOLE:
Anandika shilole katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.
“Hapana kila siku nakosewa nitaka kuongea washauri wangu wanasema nikae kimya.
Hili nimekosewa siwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.