Mwanasoshalati na mwanamuziki kutoka Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz.
Alipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi...
Najua wenye team zenu mtapanik sana tu,
Ila kama aliyosema Ommy dimpz leo kweny kipindi cha XXL huko clouds FM ni kweli, basi huyu bwana mdogo wivu wake ni wa kiwango cha juu sana, na hizi tabia...
Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo
" Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka...
Mambo yamemchachia na hali ya kiafya kubadilika baada ya balozi wa bidhaa flani ya kuogea kuingia theatre nchini uturuki hapo juzi kwa ajili ya sajari ya kurekebisha matiti na baadhi ya sehemu za...
Wakuu habari
Habari zilizobang sasa hivi ni kurudi kwa P square wanamuziki walioteka dunia nzima miaka ya 2011 na vibao kama do me, Temptation n.k wamerudi na kuwa kundi moja.
Ikumbukwe kua hawa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na muigizaji mashuhuri wa filamu za Kihindi kutoka nchini India, Sanjay Dutt ambaye ameahidi kushirikiana na Serikali katika kukuza...
Jamani nisaidieni wimbo wa huyu jamaa unaitwa PAIN IN MEA, nimeutafuta search engine zote but hajuna mwenye nao please anitumie, nitashukuru sana
By warumi dinazarde
Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki wa Reggae, mara nyingi nasikiliza online hasa radio za Kenya mfano Getho radio, Vybyz radio etc.
Kwa Tanzania kipindi cha Lover's Rock cha EA radio kulikua kina...
Kila mtu ni sehemu muhimu ya maisha yake katika nchi huru kama Tanzania. Kupiga hatua katika maisha ni kiu ya kila mmoja mwenye afya njema na akili timamu hivyo sio Jambo baya kwa mtu kuwa mfano...
Najua Hamisi Mwinyijuma au Mwana FA ni miongoni mwa wasanii wachache wasomi tulionao hapa Tanzania.
Ukiwa msomi, tunatarajia uwe na fikra pana na za kina kwenye masuala mbalimbali ya kijamii na...
Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge.
Mchekeshaji huyo ambaye amekuwa akitrend kwenye mitandao ya kijamii kwa muda sasa, alijaribu kuwaongoza...
Msanii Otile Brown amewakshifu wasanii wa lebo ya Wasafi Zuchu na Mbosso kwa kutumia mistari ya kibao chake kwenye wimbo wao mpya. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Otile amewauliza wasanii...
Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii hususan instagram wameonekana kukerwa na msanii Gigy Money kwa namna alivyokuwa akicheza densi isiyo ya kistaarabu huku ameshika bendera ya taifa...
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla amesema hakuna Hamis fala wakati akisalimiana na mbunge wa Muheza Hamis Mwinjuma
na kupost kwenye ukurasa wake wa twitter.
Ikumbukwe akina Hamis wote...
Habrini wanajamvi:
Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini[emoji23][emoji23][emoji23].
Inabidi watanzania tuache...
Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga..."
Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa...
Wakuu kama mjuavyo mtu wenu ambae chochote kibaya kizuri kwangu ndani ya Jf siwezi ficha wala kukaa kimyaa.
Dogo Harmo katoa nyimbo nzuri sanaa ila sasa hii nyimbo pasi na shaka kamuimbia bibi...
Curtis Jackson ameendelea na bifu lake na Floyd Mayether kwa kuchoma vazi la GuCci Kama njia ya kuhamasisha kupinga ubaguzi wa wazungu. Hatua hiyo ilitokana na Kampuni ya Gucci kutengeneza Nguo...
Mama Diamond Platnumz and her young husband Uncle Shamte are now facing some serious relationship issues. According to their social media, Mama Dangote has unfollowed her bae.
It is however...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.