Kwenye mashindano ya mbio za Marathon nchini Denmark Mwanariadha Sune Mushendwa baada ya kumaliza mbio zile alichukua bendera ya CHADEMA na kuamua kuipeperusha uwanjani hapo huku akishangiliwa...
Habari za asubuhi wanajamvi
Siandiki waraka huu kuharibu Biashara ya mtu au kwa chuki ila kwa nia njema kuepusha wanajamvi wenzangu kutokewa na yaliyonitokea.Na hata kama itatafsirika vibaya ila...
MWISHONI mwa wiki iliyopita, mwanadada Hamisa Mobetto kwa mara nyingine ali-make headline kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuanza kuvujishwa kwa taarifa zake za ndani na mmoja kati ya wasiri...
Fred Fidelis aka Fredwaa
Kipindi cha Powe breakfast kimepwaya sana kama sio kupoa, kwa muda wa alfajiri kuanzia saa11 mpaka 12, amsha amsha za Fredwaa hazipo, Utabiri wa Hari ya hewa hamna, Paza...
Hiki kitendo Alichofanyiwa Manara na Hamisa Mobeto Sio kizuri, Ni Kama Manara anajaribu Kumsemesha Hamisa Ila Hamisa akawa anampotezea na Kuweka mdomo Kama Vile Manara ananuka Mdomo...
kumlinganisha diamond kiuchumi na wasanii ambao wengi wao hata linapokuja swala la usafiri wanavimba na toyota crown za miaka kumi iliyopita, inakuwa sio fair
Sote tunajua ya kwamba kuanzisha...
Diamond sio mmiliki mkuu wa makampuni kama wasafi tv, wasafi radio, wasafi bet, Diamond karanga (r.i.p), yeye nafasi yake huwa ni co-owner, anachofanya ni kuwekeza tu jina lake na kuchukua...
Zari amefichua miongoni mwa sababu zilizomfanya kumwacha staa wa bongo Diamond Platnumz ni kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu mfululizo.
Anasema wasichana walikuwa wengi na katika baadhi ya...
Hamisa Mobetto hana furaha hii baada ya kupitia kwenye mtandao wake wa kijamii kuwakashifu watu wanaomhusisha na hadithi ambazo hajui chochote kuzihusu.
Anasema kwamba wale wanaomhusisha na...
Mimi nashangaa sana, hivi mtu unaanzaje kuwa fan wa mtu kama Hamisa Mobeto au Wema Sepetu?
Watu wenyewe hawajulkani hata wanafanya kazi gani kuendesha maisha yao. Wao kazi yao kubwa ni ku-edit...
Mwanasoshalaiti na mjasiriamali Zari Hassan amewakemea watu ambao wamekuwa wakimkosoa baada ya video inayoonyesha chupi aliyovalia kusambaa mitandoni.
Kwenye video hiyo ambayo ilirekodiwa wakati...
Jina la kuzaliwa: Moussa Sanguiana Kaba
Mwaka wa kuzaliwa: 1990 Umri: Miaka 31(mwaka huu 2021)
Kuzaliwa: Sanguiana (Guinea)
Raia: Guinea
Kipaji: Mwimbaji, muigizaji, mtu wa mitandao ya...
Juzi niliona kwenye global online Hajis Manara akimshkuru huyu shemeji yake kwa kumpatia mke.
Hajis anasema bi Zainab Abdalah alienda na mumewe Mh. Waziri wa Maji kujitambulisha kwamba hao ni...
Nianze kwa kukiri wazi kuwa, Tangu Nianze kufuatilia Matamasha ya Wasanii wanayo yafanya kwenye Jamii, Nimeona WASANII WA KITANZANIA wanaongoza Sana Kufanya PERFORMANCE zao Kwenye...
Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya...
Muigizaji aliopata umarufu kupitia filam ya chausiku ameolewa leo na chidi pamenzi. Ikumbukwe aliwayi kua mpenzi wa Ney wa Mitego wakashindwana.
Hongera sana Chidi kwakupata jiko.
Mwanadada Sanchi ameamua kuwajibu wanaomsema kwamba yeye ni Malaya na amejirekodi picha za uchi kwa makusudi ili atangaze biashara yake.
Sanchi amewajibu kwamba atagawa sana papuchi kwani ni yake...
Naona mwisho wa Mwaka ndani ya Mwezi mmoja WCB wanaachia pini juu ya pini zaidi ya Nne ambayo sio kawaida.
Lavalava ft Diamond
Rayvanny ft Diamond
Baba Levo ft Diamond
Diamond ft Koffi Olomide...
Katika pita pita zangu huko Insta, nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo.
Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.