Mkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike.
Barnaba Classic anasema haitaji kuelezea...
Hivi karibuni Babu Tale alizungumza juu ya sanaa kwa mapana yake, alidai kuwa watanzania tuwe mstari wa mbele kuwapongeza wasanii kwa kazi zao vilevile wasanii wajikite zaidi kwenye muziki na sio...
Staa wa filamu Bongo Jacqueline Wolper anasema hawezi kumuacha salama mpenzi wake Rich Mitindo 'Baba P' kama atamuumiza na kumpiga matukio kwenye mahusiano.
Jacqueline Wolper ameongeza kusema...
Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja.
Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja...
Salute!!
Habari wakuu ebwana Leo nipo na morali kabisa nakuletea orodha ya matajiri wakubwa zaidi Africa.
= Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika
Utajiri wa Dangote unakadiriwa kuwa jumla ya...
Nawasalimu JF kwa salamu ya Hi Five...GOOD!
Niende kwenye point.
Ninaweza kusema naongozwa sana na hisia zang tu (Emotion), hata akili natumia pia., na kwa bahati mbaya sana sikuwa mshabiki...
Baada ya Super dupa staa Diamond kuingiza Cadillac escalade nyingine kwa ajili ya wasaidizi wake kwenye msafara ataokuwa akienda kwenye matukio mbalimbali. Mji umesimama kila mtu anasema la kwake...
Hatimaye albamu mpya ya mwanamuziki Wilson Radido almaarufu kama Willy Paul itaachiliwa wiki ijayo baada ya kusubiriwa kwa kipindi kirefu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, nyota huyo wa muziki...
Kila mmoja ana mtizamo wake kuhusu harmonize kuondoka WCB baada ya kuvuna fadhila nyingi alizopewa na Diamond kama rais wa WCB pamoja na timu nzima.Kila mmoja yupo busy kumlaumu Harmonize kuhusu...
Nimeikuta instagram kwenye page ya politikstz
Kwa maelezo yake anadai Resty kajiwish birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto,mapenzi ni bambam alafu akajisahau akakoment...
Katika kusherehekea birthday yake msanii davido katoa challenge kwa wasanii na makampuni mbalimbali aliowasaidia ku push nyimbo na brand zao kuwa maarufu Nigeria na Africa, akiwataja kwa majina...
Tunapozungumzia Mtumba Man, wengi wanamfahamu kama mwanamume ambaye anauza mitumba akiwa anaimba na kuvalia mavazi ya wanawake nchini Kenya
Je uewahi jiuliza kwa nini watu mashuhuri au vijana...
Huyu jamaa nimemuona mara kadhaa akitajwa kama mjasiriamali mkubwa wa mavazi. Pia anatajwa kama mdau wa masuala ya burudani hususani mziki wa Bongo Fleva. Nimemuona akiwa katikati ya kundi la...
Kwanza nichukue fursa hii kama watanzania wengine kukupongeza ndugu yetu Rayvany kwa kupiga show moja matata sana kwenye tuzo za MTV zilizofanyika Budapest nchini Hungry.
Kwa ufupi ile show...
Jamani kwa wale wapenzi wa muziki wa bongo flevaa hebu tujikumbushie matukio, bifu yaliyowahi kubamba miaka ya nyuma ENZI za bongo FLEVA kitambo hiko yaliyowahi kuhit.
1.moja kati ya matukio...
Wakuu naombeni CV ya huyu kibopa wa zamani wa Standard Chartered Bank, then Vodacom na sasa NMB ni mtaalamu wa IT na amehusika katika kuchakachua kura kwa kutumia utaalamu wake uliobobea wa IT kwa...
Wakuu
Hivi chanzo cha ugomvi wa mapacha hawa waliounda kundi la muziki la P Square, yaani Peter na Paul.
Kiliwakumba nini mpaka wakaamua kutemana na kila mtu afanye kazi kivyake (solo)? ...
Mchekeshaji Stan Bakora ameingia kwenye trend baada ya kuonekana kwenye video akiwa na Sonara akitoboa kitovu chake na kuweka kipini.
Kitendo hicho kimezua mjadala kwa watumiaji wa mitandao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.