Wana JF
Napenda kuona mpambanaji HM anavyochanja mbuga kuliko watoto wa ushuani, mtoto huyu kipindi cha nyuma alipotoka shule zote Saint Kayumba Tandika Secondary. Ona sasa anavyoizingua dunia...
Mi nimfuatiliaji wa watu waliong'aa na magwiji katika nyanja mbalimbali !!
Kuanzia siasa, Bongo movies had music kwa hapa nchini Tanzania!!
Sasa sijajua huyu MTU anajiita davito n nani hasa...
Huwezi kuona thamani ya kitu mpaka siku ukikose!
Wako wapi wasanii wale waliopiga kelele kuwa wanashindwa kung'ara kwakuwa marehemu Ruge alikuwa anawanyonya? Wengi nawaona wakiwa na hali mbaya...
Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia...
Hamisa, ujio wako kutoka Dubai ni Habari kubwa. Ungetengeneza hela kubwa kama ungejizuia kuongea na waandishi wa Habari.
Ukatafuta chombo cha Habari ambacho kingekulipa na kujitengenezea hela za...
Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao.
Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha...
Kwanza nimpongeze kwa jitihada anazofanya kwani zimekuwa motisha kwa vijana wengi ambao wanapenda sana umaarufu wake kuliko jitihada alizoonesha na harakati ngumu alizopitia.
Niwakumbushe vijana...
Msanii namba moja Tanzania Diamond Platnumz anaendelea kumkimbiza msanii namba mbili Tanzania Rayvanny.
Licha ya Diamond kutoachia wimbo hivi karibuni, bado anaendelea kumpa wakati mgumu mpinzani...
Sijui kama ni tabia ya wanawake wote ama ni hawa mastaa wa hapa kwetu kutamka vitu ambavyo hata wao hawaviamini, au kutoa kauli zenye kuleta maswali.
Huyu dada aliwahi katika moja ya mahojiano...
Katika mtandao wa kijamii wa Instagram, mwanamitindo, mwanaharakati ambae pia ni mfanyabiashara Flaviana Matata ameonekana kukiri ndoa yake ilikwishavunjika. Mara nyingi watu wamekua wakijiuliza...
Mbunifu huyu aliyejipatia umaarufu kwa ubunifu wa mavazi ya mtaani (streetwear) na kupelekea kuingia mkataba na Makampuni kama Nike na Jordan amefariki dunia muda si mrefu kwa ugonjwa wa kansa...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii mkuu kabisa wa Africa Burnaboy amepigilia NCHUMALI kwenye bifu la wasanii wa Tz kwa kutupia picha ya msela wake Harmonize akionyesha dole la kati kwenda...
Baba mzazi ya Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na mwenzake wa zamani Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize.
Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi...
Anaitwa Zainaba Abdallah Issa,ni mkuu wa Wilaya mdogo kiumri kuliko wote Tanzania.Binti Issa ni Mkuu wa Wilaya ya Pangani iliyopo Mkoa wa Tanga.Moja ya changamoto kubwa anazokumbana nazo ktk...
Said Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende...
Kweli maisha yanaenda kasi mazee, yule manzi alikuwa ndiyo mkali kuliko manzi wote macelebrity wa bongo Jackie Cliff ambaye alikuwa ni mpenzi wa msanii Juma Jux ambaye alikutwa na kesi ya madawa...
Baada ya msiba wa mtoto Paty, na sinema zinazoendelea nimejifunza mengi haswa baada ya kuona kumbe yaliyokuwa yanasemwa na watu kuwa huu mji wa Dsm kuna wanawake ambao ni Waalimu wa wanawake. Hawa...
Rapa Rick Ross ni mtu makini sana inapokuja swala la afya yake.
Rick Ross sio mtu wa kuvamia machaka ya ajabu ajabu bila tahadhari kubwa na kinga.
Rick ni mtu anajua kwamba sio kila machaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.