Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Katika wiki hii naweza kusema ndio kipindi kilichopata utulivu mno kweye game la muziki tangu mwaka uanze. Yani katika kipicha hiki chote kulikuwa na vurugu kubwa sana huko youtube, huyu hata...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Huyu jamaa ni mtunzi mzuri, nasikiliza nyimbo zake ila nimekuja kumgundua nyimbo zake zote kuna vitu vilipita kwake. Mfano ile nyimbo ya yule mtu wake kufungwa jela. Baada ya kumpata vanessa...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Alianza uzuri na ngoma yake basi nenda baada ya hapo kapotea. Mlio karibu nae mwambieni arudi kwenye game anajua.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau...
23 Reactions
100 Replies
12K Views
Bigbrother ni mchezo mtamu sanaaa, ni mchezo wa kutumia akili sanaa, ni mchezo wenye burudani ndani yake na ni mchezo wa kufunza jinsi ya kumsoma mtu kisaikolojia na hata kumhisi huyu mtu anawaza...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Steve Mengele amesema yeye hajala hela za rambirambi za msiba wa Agnes Masogange bali fedha hizo zimehifadhiwa na wanakamati wake kwani yeye alikuwa ni mwenyekiti tu. Kamati aliyounda ilikuwa na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo. Ni mzuri Ana exposure Si mjivuni Social Mambo Safi Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake. Baby kabae jua kabisa...
6 Reactions
180 Replies
30K Views
Konde gang ni label ambayo Wasanii wake wamekosa nidhamu sijui kwasababu washakuwa na majina basi wanajiona hakuna kama wao. Au Mipango ya Label ni Wasani wajichomoe akili watrend na kuongelewa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Sisi watu wa kanda ya ziwa saa nyingine nashindwa kuelewa pale tunapofanikiwa na tukawa maarufu, kosa letu huja tukisha fika Dar. Sijui shida inayotupata huko huwa ni nini. Msodoki ni msanii...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Mwanamuziki mgongwe wa DRC, Aurlus Mabele maarufu kama Mfalme wa Sokous amefariki dunia saa chache zilizopita jijini Paris nchini Ufaransa, huku kukiwa na taarifa kuwa huenda kifo chake...
8 Reactions
189 Replies
29K Views
Sio kwamba Eminem anajiona ni rapa bora sana, HAPANA. Ukweli ni kwamba Eminem ni mwanahip hop/rapa bora kabisa kuwahi kutokea hapa duniani. Sio kwamba yeye anahisi hivyo, bali ndivyo ilivyo
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana JF, Mfanyabiashara wa madini,Jimmy Mcmele,21 amefariki dunia kwa ajali ya gari maeneo ya tegeta dsm akiwa na Benz lake. Jimmy Akiwa Kwenye Helkopta yake. AKiwa Na pesa za kutumia...
2 Reactions
328 Replies
125K Views
Mtoto anaitwa Seven Adeoluwa Akinosho Naaam, mtoto kuingia nchini siku yoyote kukabidhiwa rasmi uchifu. Hongera dada la dada Vanessa Mdee na shemu yetu
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Huyu dada bwana sijui ni kweli anapitia shida ama ni uigizaji? Kwenye interview moja na Diva clouds alionekana akilia maisha magumu na kutaka kujiua. Leo hii anaibuka insta akiwa kang'aa Cheki...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
1,Khalid Uledi - Dj KU Times fm, Huyu jamaa anapokuwa kwenye mashine hutaboreka kumsikiliza huwa ana Playlist Bomba kinoma. 2,John Dilinga Matlou (Dj JD-radio one), Huyu naweza Sema ndo...
10 Reactions
102 Replies
42K Views
Habarini wakuu Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV. Nimemuona kijana anaitwa Deogratius...
5 Reactions
37 Replies
40K Views
Baada ya kuacha kuangalia bongo movies na series kwa.muda mrefu kuna siku nikaambiwa sasa wapo vyema wamekuja upya ndani ya sinema.zetu Azam TV..wakati huo kuna tamthilia ya Single Mother na...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo Nimekutana na battle ya Zuchu na Tems cz wote wamewekwa kwenye category moja za kuania tuzo Ila Ushabiki tuweke pembeni Zuchu kwenye kuimba aha Mashallah anajua yupo vizur kweny kila angle...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Siku chache tu baada ya kutambulishwa... msanii mwenye talent ya kushangaza aitwae Mac Voice kutoka kampuni ya muziki ya Nextlevel, ameanza kuandika rekodi nzuri kwenye mauzo. EP yake ya my voice...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu, Msanii wa Bongoflava Rayvanny juzi amemtambulisha msanii wake mpya wa Lebo yake ya Next Level Music anayeenda kwa jina la Mac Voice. Nimesikiliza EP ya dogo, kiukweli anajitahidi...
1 Reactions
20 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…