Naam Lupita nyong'o kutoka hapo juu tu paitwapo kenya ndiye mcheza filamu anayelipwa pesa nyingi zaidi kutokea upande huu wa East of afrika, na hakika hakuna anayeweza kupinga kua huyu dada anajua...
Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana [emoji3][emoji3][emoji3]
Exclusive kabisa Vanessa Mdee na Rotimi wapata mtoto wa kiume baada ya kuficha kwa miezi mingi.
===
Staa Vanessa Mdee na mchumba wake, Rotimi kupitia mitandao ya kijamii wa Instagram wameposti...
Ni Mwezi wa 6 Huu Tangu Rayvanny atangaze label yake ila hadi leo hakuna chochote kinachoendelea kwenye hiyo label
Juzi kati ametubiga mkwara wa kutambulisha First born wa NLM hadi Leo holla...
Lavalava kitu kinachomkwamisha kutoendelea kimziki kwanza ana kaulimbukeni marafiki zake wanaomzunguka ni walamba midomo hawawezi kumshauri chochote zaidi ya mademu.
Lavalava anatakiwa abadilike...
Ila wazeiaa dah mama J mkali wa kuchezea mike.
Dah sio poaa
Inabidi hawa madem zetu wakapewe somo na Mama J Jinsi ya kushika Koni na kuinyonyaa vile inavyo takiwaa.
Asantee Mama J, leo ume Jua...
Mshindi wa tuzo ya Oscar kutoka Kenya Lupita Nyongo ametuma ujumbe wake katika mtandao wa Twitter akilalamika kufuatia hatua ya Jarida la Uingereza la Grazia kuhariri picha yake na kuufanya uso...
Nasema tena hii ni Aibu kubwa sana kwa Harmonize Waliobahatika Kuangalia ICU leo watanielewa
Harmonize kwa Kujimwambafai Instagram aha Anaongoza ila in Real life ni anasikitisha hivi kweli Msanii...
Naimani mko buheri marafiki,
Naomba mwenye kuweza kuweka CV au taarifa za kina zitazofanya sisi wengine wa ukanda wa Afrika mashariki huku tumjue huyu bwana.Jamaa namfahamu kama msanii mwenye...
Wanabodi, msiba ni kuzika.
Ninawaomba tukamzike mwenzetu, tukamzika vipi?kwa kushiriki ibada ya kumuaga pale kanisani Muhimbili saa 8 mchana.
Je, tutaenda kuaga hivi hivi mikono mitupu hapana...
Makamba baada ya kuchemsha ndio sasa anagundua kumbe Tabata issue ni ya kijamii na si siasa, karudi ofisini kaagiza mahindi, maharagwe na tank la maji vipelekwe Tbt!
How cheap!
DC wa Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Tsh. Milioni 2.8 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wake wa Tsh. Milioni 3.1 kama rejesho baada ya kukopa Benki kiasi cha Tsh. Milion 106 ili kujenga...
COSOTA imesema wasanii watapata 70% na serikali itachukua 30% ya mirahaba itakayokusanywa kutoka kwenye vituo vya redio, TV na maeneo mengine yanayocheza nyimbo za wasanii kuanzia Desemba 2021...
Hivi unashabikiaje Konde Gang wakati wewe ni kabila tofauti na hilo Means hata kabila lako ulikubalii
Then Me naona Jina Konde limekaa kikabila mno no swag at all
Konde Gang ni special kwa...
watanzania sasa wamekuwa na matumaini sana na wabunge wao kwa ujasiri waliounesha bungeni kwa kuweka maslahi ya taifa mbele bila ya kujari itikadi ya vyama,lakini ni jambo la kusikitisha kama...