In another episode of keeping up with the Dangotes, Diamonds mother is done with bae.
Mama Diamond appeared to make a brutal dig at her Ben 10, saying it’s over.
Mama Dangote was responding to a...
Mwanamama mrembo na mjasiriamali kutoka pande Za uganda [emoji1254], Zari the bosslady , kwenye insta story amepost picha akiwa kwenye ndinga yake mpya ikiwa imeambana na caption ya kumshukuru...
Sasahiv kwa mwendo wa mziki unavyoenda kama msanii unatembelea crown a.k.a Nanasi, kafanye biashara nyingine tuu. Maana mziki pekeyake haulipi.
Jux kupitia insta yake leo kaposti msafara wake wa...
Jennifer Lawrence atakuwa mama!
Mwigizaji huyo wa miaka 31 ana ujauzito wa mtoto wake wa kwanza na mumewe, Cooke Maroney.
Mwakilishi wa Lawrence alithibitisha habari hiyo kwa Watu Jumatano...
Habari za kazi wa kuu katika jukwaa langu pendwa, kwanza natoa pole kwa member wote kwa kuondokewa na mtu muhimu katika jukwaa hili warumi simfaham sura ila kwa taarifa nilizo pata ni home boy...
Rapper Drake dedicated his new album to model Nadia Ntuli who passed away earlier this year in a motorcycle accident in Dubai.
Drake, whose real name is Aubrey Graham, shared the dedication in...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter mjukuu wa Bakhresa ametupia gari mpya aina ya Porsche aliyopatiwa na babu yake kama zawadi ya birthday.
Haya yametokea wakati kuna mabilionea wamesuasua...
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo...
Huyu giant anatisha sana sizan kama kuna msanii atatokea kumzid huyu mtoto wa Tandale. Imagine anakua mostly searched artist kwenye nchi za watu
Najua Kiba hapendi show...
STAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' .
Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya...
Pigo lingine laufika muziki wa Reggae. Mwimbaji na mtayarishaji nguli wa muziki wa Reggae, Lee "Scratch" Perry, ameondoka akiwa na miaka 85.
Kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Jamaica...
Wakongwe mtakua mnamkumbuka Danny De Vito katika sinema mashuhuri alizocheza ilikuwa The Twins ambapo pacha wake alikuwa Arnold Schwarzenegger. Danny ni mtundu na mchekeshaji sana akiwa kwenye...
Muigizaji wa "The Wire" Michael K Williams amekutwa amefariki akiwa na umri wa miaka 54 nyumbani kwake brooklyn, vyanzo vya polisi vimeliambia shirika la habari la PA.
Williams, anayejulikana...
Kylie Jenner has confirmed she is expecting her second child with rapper Travis Scott following weeks of speculation.
The reality TV star and make-up mogul announced the news with a 90-second...
Kijana wa tandale atatamba tena kwenye tamasha kubwa la ESSENCE FESTIVAL CULTURE ambalo litakua linajumuisha mastaa kibao kutoka pande zote za Dunia akiwemo Burnaboy pia kutoka Nigeria.
Ni muda kipindi cha Block 89, mimi hukiita kipindi mama cha Wasafi FM, yeah its true ndio kilichoanza, hakiruki hewani.
Kuanzishwa kwa kipindi kipya cha The switch kulipelekea kipindi hiko...
Habari wanajamii,
Naomba kujuzwa mwanamuziki aitwae Hussain Machozi hivi yupo na kama yupo amesha toa wimbo wowote katika mwaka wa 2019/20?
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.