Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao...
Maana huyu bidada anaenda Dubai Mara Kwa mara na anatumia iPhone za Tsh. milioni 3, tena mbili.
Hapa Dar kuna watu wana pesa nyingi sana za kuchezea aisee.
Wakuu kwema?
Watu wa Hip-Hop ebu tukutane hapa kidogo,,,Hivi ni versi gani kali ya Hip-Hop hapa Bongo uliwahi kuisikia mpaka ukasema yes hii ni versi bora kabisa kuwahi kuisikia hadi leo huchoki...
Mwanamitindo na Muigizaji wa filamu, Kim Porter, ambaye pia alikuwa ni mpenzi wa Mwanamuziki Sean Combs au Puff Daddy (P. Diddy), amefariki dunia nyumbani kwake usiku wa jana (Alhamisi) akiwa na...
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni...
Nakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.
Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k
Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa...
Msanii na Rapper maarufu Kanye West ameiomba mahakama ya jijini Los Angeles huko California nchini Marekani kubadilisha jina lake kutoka Kanye West na badala yake awe anajulikana kwa jina la Ye...
Huyu ni mmoja ya kati ya wanamuziki bora zaidi wa kiume wa miondoko ya Zuku kuwahi kutokea katika hii dunia.
Embu tujikumbushe kidogo na hii ngoma yake Inaitwa Ng’e. Btw wale watoto wa bongo...
Mkurugenzi wa kampuni ya Wasafi, msanii Diamond Platnumz ametoa msaada wa kodi ya pango kwa watu 57 ambao ni wajane, walemavu pamoja na wasiojiweza.
Msaada huo ni awamu ya kwanza katika ile...
Wakuu, huyu bwana mdogo nimekua nikicheck posts zake mitandaoni napata ukakasi kama kweli (roho yu ndani yake) na vile maandiko yanavosema tujihadhari na manabii wa siku za mwisho.
And what's the...
Bongo flavour ya zamani ilikuwa kali sana, ma-dj wachache, waandaji wa mziki wenye utaalamu wao kama P-Funk,Master Jay na wengine.
Game la mziki wa zamani watu walijitolea japo mziki ujawapa...
Nay ameamua kusema kile ambao wasanii wetu wengi wanakiogopa
Kweli ney ni rais wa kitaa..
Nimependa mistari iliopo kwenye wimbo huu na ni mzuri kusikiliza
Big up kwake
Mara nyingi hua yupo...
Inashangaza sana kuona picha nzuri ka hii inakosolewa na baadhi ya watu. Kila anaeiona anasema "Huyu kweli Mmakonde sa ndo msuko gani wa kike" wanadai kuwa hajapendeza na msuko huo.
Mim najaribu...
Hii ni moja kati ya picha ambazo zimewapagawisha watu wanao mfuata "followers" kwenye ukurasa wake wa instagram......cheki picha na comments za wadua!...Nouma sanaComments za wadau
Mwili wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ tayari umewasili Utengule, mjini Mbeya, huku wimbo unaotumika katika maombelezo wa msiba huo ukiwa ni ule wa msanii Abelnego Damian ‘Belle 9’ uitwao...
Minister of National Guidance and Religious affairs , Rev.Godfridah Sumail told the media that Koffie Olomide will be arrested if he showed up the shows he has been invited for in Zambia .
Source...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.