Habari za muda huu wadau?
Siku ya leo ya mapumziko (Muungano) nimeamua kupitia na kusikiliza baadhi ya nyimbo za nguli wa muziki Oliver N’Goma ( sasa marehemu) moja ya nyimbo zake nazozipenda ni...
I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..
Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive.
Hovyo...
Wazee wa jamvi huyu msanii wetu pendwa hapa bongo katoa nyimbo ambayo ukiisikiliza hovyo unaweza hisi anatukana
Yaani kawapiga chenga BASATA wakijua kabisa anatukana ila pakumshikia sidhani kama...
Mayweather, ambaye ni promota wa ngumi na bondia wa zamani, amenunua jumba hilo katika kisiwa cha Palm Island na lina vyumba tisa vya kulala na mabafu 10.
Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather...
Ni takribanai wiki 2 kasoro tangu video ya Kiba itolewe lakini tumeshangazwa kuona mfalme (kama ajiitavyo) katoa kaze 2 mfululizo (jealous & ndomboloo) ila kashindwa kutetea kwa vitendo kiti chake...
My take: who wants to go to China anyway!!!!!
China has banned references to hip-hop culture and actors with tattoos from appearing in the media as part of a crackdown on “low taste content”...
The Queen has 'banned' the Duchess of Sussex from wearing some of the priceless items from her Royal Collection, it has been revealed today.
Certain priceless items from the collection, which are...
Nimeangalia sana hili game la Bongo flavor Wasani wengine wanataka Kuwa Diamondplatnumz,
-Wanacopy kuanzia Life style
-Wanacopy Kuanzisha Record Label
-Wanacopy Kuongea na Kuvaa
-Wanacopy the way...
Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha
Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha, Tanzania, aliiwakilisha Afrika katika toleo la mwaka 2009 la BET Hip Hop Awards cypher, zilizorushwa...
#NewGeneration[emoji146] : Je, ni nani Mfalme wa Kizazi kipya cha Rap/HipHop Bongo?
KINGS: (@younglunya x @iamconboi x @rapcha_tz x @maarifabigthinker x @kontawaa)
#WasafiDigital #BongoFleva...
Edo simwoni kama ni bora kiuchambuzi. Abaki kwenye makala.
Ambangile ni trash
Yule mdada kidogo kwa mbaaaaaaaaali Anajitahidi
Ahmed ni mtangazaji sio mchambuzi
Ricardo momo akiacha kazi wasafi...
Mwigizaji, mwanamitindo, Danser na Director maarufu kutoka Hollywood nchini marekani ANNABELLA AVERY (Bella Thorne) usiku wa kuamkia leo ameingiza $1.5million kupitia account yake ya ONLY FANS...
Wale Wabishi Waliokua Wanajulikana Kama Vinega (Mapacha) Wapo Mjengoni Mawingu Studio, Wameamua Kumaliza Bifu Lao Na Mawingu, A a a a VINEGA Wamesanda.!!
It sounded like a Kiki before, ila shortly after hearing jack Mini interview , kuwa walikua wana date na jamaa and it has been only two weeks ndipo jamaa akaamua kumchumbia, mind you nasikia jamaa...
Naona sasa imekua ndo kawaida kwa wasanii wetu kila wimbo unaotoka ni Amapiano sijui amopiano yaani zinafanana kwa kila kitu,binafsi naona ni upuuzi mtupu!!
Wakuu,
Kwa mwanzo huyu jamaa hakueleweka sana alipoingia wasafi tofauti na alipokuwa yamoto. Hata mimi sikuwa namkubali Sana wala kumfuatilia sana ila nimekuja kuona na kugundua huyu ni msanii...
Licha ya kutokuwa na majority share pale mjengoni, ni dhahiri kuwa Diamond Platnumz ndiye C.E.O na Managing Director (M.D)
Maulid Kitenge amenukuliwa mara kadhaa akimwita Mkurugenzi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.