Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari Wana bodi, Maisha ni watu na bila watu hakuna maisha,lazima watu waongelewe,wajadiliwe ndiyo maisha yenyewe. Ukiwa Famous, super star,n.k lazima utajadiliwa lakini Kuna watu humu utasikia...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake Diamond Platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila cha ajabu ametutia aibu tu. Jelaous ya Alikiba...
8 Reactions
84 Replies
8K Views
Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile...
37 Reactions
353 Replies
23K Views
Tokea hawa waimbaji mashuhuri wa mnanda wafariki hakika mnanda nao umeenda zake ,ladha na utamu wa mnanda umepotea ..Wameondoka mapema Sana ikiwa fani bado inawahitaji. 1.Juma Mpogo lupozi "seven...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Uhali gani mwana JF? Binafsi nimetokea kumjua Marioo tangu 2017 alipotoa wimbo wake wa Bure. Nikawa shabiki wake ila japo hakuanza kuimba rasmi ila alikuwa akitungia watu tu nilitamani atoe...
6 Reactions
60 Replies
13K Views
Chris brown and others are mourning the loss of their tattoo artist, Trigz Lokz . Michael Christopher Pebley was shot and killed on Thursday afternoon, In Touch reports. He was gunned down as a...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msanii wa filamu tanzania (BONGO MOVIE), Munalove rafiki wa zamani wa wemasepetu, amesema kuwa anaumia sana kuwa na tattoo mwilini mwake zimekuwa maumivu makubwa sana na kupelekea kutokuelewana...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Kumbe ndugu yetu Naseeb is a mere ambassador a.k.a Balozi mzee Baba Joseph Kusaga Kausika Jionee video uamini.
8 Reactions
235 Replies
39K Views
Naona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwamana ya utajiri? Coz namuona mwijaku leo kwenye radio kataja wasanii wanamuziki ambao ni...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Inakuwaje wanaJF! Kuwa Dollar Millionaire siyo mchezo naweza sema ni bahati ndio maana ni wachache sana. Wee fikiria nchi yenye watu million 60 halafu kati ya hao ni 450 ndio dollars...
6 Reactions
77 Replies
9K Views
Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu...
9 Reactions
45 Replies
7K Views
Huyu mdada anaitwa Tina Rogat Yuko insta almaarufu 'Umelala Yoooo' yani nampenda mno mpaka naumwa Ana macho mazuri mnoooo halafu Ana sura flani ya aibu ya kike naomba muuskrinshot ujumbe huu...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Mmakonde kaamua kumkata matumaini kabisa Binafsi nashangaa kuona hii ni video ya pili mfululizo ya kiba haijafika kilele cha trending, Nahisi ni sababu Ali kiba kaanza kulipia matangazo ya...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Joyce wowo Jana alijua kuturusha roho wanazengo, mxiee ila Kati ya Kiki zote zilizoboa hii Joyce wowo umebugi, Kiki ya kishamba, Event yenyewe haijabamba kihivyo . Yani uwoya sio siri Mungu...
12 Reactions
57 Replies
12K Views
Hivi majuzi nilisikiliza interview ya Sallam SK kupitia kipindi cha The Switch cha Wasafi FM nikajifunza jambo -- kuwa kumbe si kila msanii yupo tayari kunyakua kila dili linalowekwa mezani, no...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi chama kiendelee. Kabla baadhi yenu hamjaanza kunisumbua kutaka nitoe maoni yangu kuhusu kushindwa kwa komredi Simba kwenye tuzo za BET, nimeona...
31 Reactions
143 Replies
14K Views
Jana nmeona rayvanny akifanya interview kwenye kipindi cha salama eatv nkashindwa kuelewa imekuwaje WCB na EATV wapi na wapi sikuwa na muda wa kufuatilia ila nilibaki na maswali
6 Reactions
34 Replies
5K Views
Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataweza kuwakosanisha. Hilo linaweza kuwa ni jibu la kwanza...
4 Reactions
36 Replies
15K Views
Roma MKATOLIKI ametanganza Nia ya kucha muziki soon. Kwanza kabisa ameeleza wimbo wake wa kwanza ilitoka 2007 na sasa anatoa wimbo wa mwisho, hivyo ametoa shukrani kwa wale wote walio support kazi...
12 Reactions
41 Replies
8K Views
Sio rahs Kwa Rayvanny kupitia njia aliyoipitia Diamond , kuna watu kuwa kwenye mahusiano na kuacha kwao sio tatizo , Ila kuna wengine sio kaz rahisi, kuna wengine ukishamhaidi binti utakuwa...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Back
Top Bottom