Tupunguze Kumsifia ' Kinafiki ' na tujipange Kwanza katika Kumsaidia ili apone na arudi katika ' Game ' kama kawaida. Kwa tunaojua Imani za Kiafrika kumpamba na kumsifia Mtu ' Mgonjwa ' sana ni '...
Kupitia Instagram yake Fahyma ambaye ni mama mtoto wa Rayvanny ameandika kuwa:-
NAOMBA IFIKE MUDA MUWE NA HESHIMA NA JINA LA MTU UNAE TUMIA PICHA YANGU NA JINA LANGU KWA MANUFAA YAKO SHERIA...
Nataka kumkumbusha Rayvanny asi concentrate sana na Papuchi akasahau mziki wake, akumbuke yeye bado ni muajiriwa wa label ya wasafi, asipofanya kazi hali... Sasa yeye aendelee kutangatanga na huyo...
Nampenda Jay kwasababu anaimba na kuandika maisha yake halisi.
Ukisikiliza nyimbo yake ya You Must Love Me na Kill jayz, amewahi kutaja kisa cha kumpiga risasi kaka yake, akiwa na umri wa miaka...
Wahenga salaam,
Nakumbuka zama hizo Sinta aliibukia kwenye uigizaji enzi hizo na ray Kigosi , ghafla Shigongo naye akadondoka na magazeti ya udaku, miaka hiyo penzi la P Didy na j lo linatamba...
Wakuu Huyu Ndio Mshindi Wa Shindano La Miss Kyelwa 2021.
Hakika Muandaaji na Majaji Wametisha Sana Kwenye Hili.
Hongera Kwa Mshindi na KAZI IENDELEE [emoji281][emoji281][emoji281]
Huyo hapo chini ndiye mchumba wa AY na ana asili ya Yemen na visiwa vya Shelisheli. Hapo ilikuwa Jumapili iliyopita Club Bilicanas. Amesema katika harusi yake hatachangisha michango kama baadhi ya...
Picha ya Mwanamziki Lady Jaydee
Uchuro? Baada ya kutundika mtandaoni kwa mara nyingine picha za jeneza alilojiandalia litakalotumika siku akiaga dunia, mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo...
Steven Kanumba
Popular Tanzanian and occasional Nollywood actor, Steven Kanumba, has been reported dead.
The cause of his death has not been officially confirmed, but reports have it that he...
Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae...
Amesikika Mkurugenzi wa Clouds Media Group, ndugu Joseph Kusaga katika kipindi cha Leo Tena ninamnukuu "Clouds watangazaji hawaondoki kwa taarifa tu, Zamaradi atarejea kuanzia wiki ijayo "...
Huyu mwamba nilikuwa namchukulia poa, hata hvyo huyu jamaa nimegundua ni mtu na nusu kwenye mashairi mazuri, ieleweke mi napenda nyimbo za kusikiliza, ambazo zitaifanya akili yangu ikae itulie...
Diamond Platinumz had just taken delivery of a brand new Rolls Royce when I spoke to him – it’s a blue Cullinan, latest model.
It’s the first of its kind in Tanzania and when Diamond took it on...
Wanajamii karibuni poleni na shughuli za maendeleo kwa wale wadau wa Music Kali ebu taja kibao chako kimoja cha grand maitre ulichokipenda Mimi ni matata ya muasi na mobali Ekoki Kosila te(...
Watanzania adui yetu mkubwa kwa sasa ameongezeka.
Wakati wa Nyerere ilikuwa umaskini, magonjwa na ujinga.
Kwa sasa adui yetu mkubwa ni
1. Wivu
2. Chuki
3. Unafki
Ukikaa chini ukatafakari...
Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake
Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa...
Hatimaye mwanadada mrembo na mfanya biashara maarufu tokea pande za +254 amefunguka na kudai ameshasaini kila kitu kilichomtaka yeye kufanya hvyo , na Kwa sasa anachoangalia yeye ni biashara zake...
Habari Nzuri kwenye tasnia ya Muziki (bongo flavour) nchini Tanzania ni kuwa msanii Namba Tatu Africa Baada ya Burna Boy ma Wizkid na Namba moja Tanzania ameingia studio na king wa West coast...
Kama picha zinavyojieleza, mlimbwende huyu atinga kwa mjengo kwa mwaliko maalumu..
Kwa kasi hii ya awamu ya tano, inayoongozwa na kiongozi makini, akisaidiwa na watu makini kama Prof Kabudi, Job...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.