HAJANITENDEA HAKI : WAMECHUKUA ACCOUNT ZANGU ZA INSTAGRAM.
Mshambuliaji anasema baada ya kuanza mchakato wa kurudi #EFMnaTVE, account zake za instagram zilidukuliwa.
Asema hajui ni nani amefanya...
Shabiki wake nimem miss sana.
Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru
Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu
Roma amtolea uvivu Nikki Mbishi, Fanya muziki acha majungu badilika muda unaenda haurudi nyuma.
Wakuu Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Roma Mkatoliki ameandika kuwa : “Niki!! Punguza Chuki...
hajismanara Wakulungwa wa kibongo waliopo South huuita lile Jiji kama Debeni,,,
Yes ni Durban !!!
Familia ya kitajiri isiyo na makeke ya Bakhresa inamiliki kiwanda kikubwa cha Unga chenye uwezo...
Mbona kimya sana kuhusu hawa watu, wenye taarifa zao atwambie maana tunawakumbuka sana.
1. Snoop lee
2. Mabaga fresh
3. Rich one
4. sister P
5. Zay B
6. Suma G
7. Rado
8. Balozi
9. Pauline Zongo
Mpenzi wa zamani wa Cristiano Ronaldo, Irina Shayk aliwaambia wafuasi wake wa Instagram wam-unfollow kama walimfollow sababu ya Cristiano Ronaldo baada ya kuachana unajua kilichotokea?
Alipoteza...
WanaJF naombeni mnijuze kuhusu mdadaa shamim Mwasha mke wa Abdul, mmiliki wa blog ya 8020 fashions alifanya baby shower nzuri sana. Ni mzuri mimba ilimpendza kwel je kajifungua?
Wakuu, napenda nyimbo za Lucky Dube, Kuna ile anamuambia Mama yake kuwa ametendwa na mwanamke,
Na kuna ule analalamika amekuwa Mtumwa wa pombe, hivi Lucky Dube akuacha watoto wakubwa?
Yaani Manara kasifiwa na Chama Insta Live , Tajiri wenu amekasirika kabisa.
Ni hakika yale aliyosema Haji tumeanza kuona ukweli wake.
Huyu mtu ni mshamba sana, tajiri gani ana tabia za kimaskini !.
Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake...
Nikki wa Pili alikuwa akiwaponda sana watu walioajiriwa mpaka akatoa wimbo wa sitaki kazi. Alisema yeye anataka kuajiri na sio kuajiriwa.
Swali, ameteuliwa uDC. Je, atakataa?
One of the most famous singers in the world made the bulk of her money offstage — in a joint venture with LVMH
Rihanna's beauty line accounts for most of her wealth. CAROLINE MCCREDIE/GETTY...
Mteule wa JOTO LA ASUBUHI Mh. Mangele Seteve Nyerere, Amekula kiapo na kuanza majukumu yake katika kuhakikisha mskilizaji wa E-fm anapata habari na uchambuzi was magazeti.
Mwanzo mwisho burudani...
Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana.
Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba?
Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
Sio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali...
Wengi tunakumbuka miaka ya nyuma Diamond ndie alikuwa msanii pekee aliekuwa ana promote video zake kwenye mitandao ya kijamii kwa kulipia, hiii ikapelekea kuongezeka kwa umaarufu mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.