Kwa wanaJF wakongwe hasa wale walioishi Arusha wanaweza kumkumbuka mwanamama HIDAYA (mwanamke wa kwanza kumiliki Toyota pajero ndani ya jiji la Arusha) aliyeimbwa na jitu la miraba minne PEPE...
Mie toka adanganye amenunua rolls Royce toka Mwaka 2018 had leo halijaingia Tz ndo nkajua Kweli mondi NTU WA DILI[emoji16]. Mara anasema ana hotel Sijui wapi , mpaka wa leo hatujawah kuisikia tena...
Seems some of you don't understand so let me explain further.
Nassib Abdul also know by his stage name Diamond Platnunz doesn't have the best vocals,
He isn't the best at songwriting,
He isn't...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema halijaridhia kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere, kushiriki mashindano ya Miss World yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu Peutro...
Habarini!
Niwaambie tu ukweli, nyie wadada wenye pesa zenu mnaotafuta mabaunsa wa kutembea nao nyuma a.k.a (bodyguard) hasa ma celebrity wengi hapa bongo. Ni kwanini mnatafuta wa kiume badala ya...
Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili...
Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz...
Wakuu Tazameni Picha Hizi Ambazo Zimeonesha Wachezaji Warefu Wanapokutana Na Wachezaji Wafupi Kwenye Game Moja [emoji91][emoji91][emoji91]
.....
Kimsingi Mm Ni Mrefu Sana so nikionaga Mwanaume...
Miss Tanzania 2020-2021 Rosey Manfere hajatangazwa kwenda kushiriki Miss World 2021 na badala yake ametangazwa mshindi wa pili Juliana Lugumisa kutokana na utovu wa nidhamu kati ya Miss Tanzania...
Kuna sintofahamu ambazo zinaendelea mitandaoni kuhusiana na Gari mpya ya msanii Diamond Platnumz Rolls Royce CULLINAN black badge 2021.
1.GARI NI FAKE
kigezo wanachotumia watu wenye chuki kuhusu...
Habarini Wana Jf.
Good news Ni kuwa Page ya Grammy umeona efforts anazozofanya kijana mpambanaji na msanii A-List Africa (Diamond platinumz, Burnaboy na wizkid) kuwa anastahili Grammy.
Na hii...
Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza,
Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha...
Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo..
So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara...
Wakuu,
Mwanetu kabisa wa Temeke Mikoroshini kashalamba ubalozi wa Temeke, meya amemkabidhi bendera Juma Nature ili aitangaze Temeke kokote aendako hata akiwa maskani aitangaze Temeke.
Hongera...
Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani.
Namba...
Safari ya Mwisho ya Albert Mangwea (RIP) katika picha
Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Addo Novemba kushoto akijadiliana jambo na viongozi wa Kamati ya Mazishi katika shughuli yaa...
Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme...
Nay wa Mitego amesema yeye ni mtu ambaye hapindishipindishi maneno na kama ukikosea au ukimzingua atakuchana ukweli labda hiyo ndiyo sababu ya Harmonize kujishtukia na kumblock Instagram.
"Mimi...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaita Kamati ya Miss Tanzania pamoja na na Miss Tanzania 2020/21 ambaye amevuliwa taji hilo, Rose Manfere.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Katiba Mtendaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.