Wakuu,
Yapo mambo hayawezi kupita kirahisi ki JF. Majuzi tumemsikia msanii Linah akilalama kudhalilishwa tena mbele ya public na msanii mwenzake Harmonise lakini ni kama linataka kupita kisanii...
The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili...
Manunuzi makubwa anayofanya Diamond kwa sasa yamekua na Gumzo kubwa mtandaoni kukiwa na pande mbili zinavutana. Wako wanaosifu na wanapata kazi ya kukandia.
Kwa namna yeyote ikitokea negative...
Cristiano Ronaldo na mkewe
Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira, Ureno, 5 Februari 1985) ni mchezajisoka wa Ureno. Nafasi yake ni ushambuliaji; kwa sasa...
Habarini Wana JamiiForums.
Taarifa nzuri kwa WCB Fans pamoja na tasinia ya Muziki wa BONGO FLAVOR Ni dhahiri shauri kuwa diamond and ALBUM Yake itakuwa Ni ya kukata na shoka na hii inaweza ndio...
Habari Wana Jf.
Hili alilolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days Harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na usiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi.
Kiukweli...
Prophet T.B. Joshua
Lying in State.
Earlier, there was a procession conveying the body of God’s servant from The SCOAN Prayer Mountain to the church auditorium at The SCOAN, Ikotun-Egbe, Lagos...
Mwanamziki wa youtube Sadala Anakimbizwa kweli kweli na mfalme wa Bongo fleva huko youtube,.
Sadala ngoma ina siku tatu
King Kiba ngoma ina siku mbili
Kwenye Digtal platform ndo usiseme Sadala...
Nimeona mitandao ikimbeza sana Supastaa wetu mpya wa kike Tanzania mtoto wa Kajala aitwae Paula.
Wengi wanamchukulia Paula kama mtoto wa kike aliyeshindikana na amepoteza uelekeo wa maisha...
Kama uzi unavyojieleza.
Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa.
Itapendeza...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtangazaji wa EFM na TV E ameandika kwamba alikuwa anaumwa ugonjwa wa COVID-19 kwa Sasa anaendelea vyema.
Mungu saidia afya ya huyu mwamba apone[emoji120]...
Naomba mnisaidie kumfahamu huyu jamaa wa insta anaitwa khaby 00 Mimi sielewi vituko vyake anaemuelewa atuelezee na historia ya maisha yake . Na uraia wake yeye anafanya vitu simpo vya kipumbavu .
Binti ambaye anajihusisha na mitinido. Na fasheni ukimuangalia vizuri kafanana sana na mwanamuziki mwana mitindo anasema anashangaa kwanni wanamfananisha na Hamisa misikilize hapa akihojiwa>>
Nisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania.
Kama na wewe umefurahi Diamond kukosa...
Juma Jux kwenye ukurasa wake wa instagram katupia picha ya mjengo wake pamoja na ndinga zake ikiwemo Mercedes Benz mpya na bmw.
Kwa mtizamo wangu naona jux ana maisha mazuri kuliko msanii yeyote...
Kwa heshima ya Mziki wake hapa nchini laiti ningekuwa P Funk (majani) ningeipumzisha Mike aliyokuwa anaitumia Ngwair kuingiza vocal zake pale Bongo Record
Ningetafuta site nzuri, Sanduku la kioo...
Lavalava anaimba vizuri sana sasa sielewi tatizo lipo wapi.
Lava lava kaanza kuachia kazi zake 2017 may
Hata baada ya kutafuta kiki katoa ngoma nzuri ila bado ina sua sua
Mbosso - Agosti...
Wadau nimeona Jana Insta kumechafuka. Wema kapewa gari jipya kabisa na Autie Ezekiel zawadi yake ya birthday.
Nimejiuliza maswali mengi sana hivi kumbe Wema na Auntie wana urafiki wa kujaliana...
Star wa hiphop kutokea nchini #Ghana Sarkodie amesitisha kuachia album yake No Pressure iliyokuwa itoke julai, 9, 2021.
Nyota huyu ametumia ukurasa wake wa instagram kuomba radhi kufuatia taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.