Mwigizaji wa filamu nchini marekani Lauren Kaye Scott, almaarufu DAKOTA SKYE amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles marekani.
Mwili wa Dakota Skye umekutwa Kwenye gereji ndani ya nyumba...
Richard Donner, mtengenezaji gwiji wa filamu na ambaye aliongoza filamu maarufu za "Superman", "The Goonies," na nyingine zilizotamba, amefariki dunia jana Jumatatu akiwa na miaka 91, vyombo vya...
Wasalaam wana jamvi.
Baada ya Mtangazaji Diva kuacha kazi kwa mwaka sasa ni rasmi kurejea tena.
Baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya kazi na uku hakuna media iliyomfata kutaka kufanya nae...
Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.
Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5 m
Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa...
Wasafi Fm kupitia ukurasa wao wa instagram waliweka maneno ya msanii kutoka Nigeria ambaye alikuwa anasema kuwa wasanii waache kununua viewers wa youtube na akasisitiza kuwa anawambia wasanii...
Wakuu, Manager wa Mwanamuziki DAVIDO aliyejulikana kama OBAMA na maarufu sana kwenye viunga vya Lagos nchini Nigeria amefariki ghafla baada ya moyo kusimama kushindwa kupumua..
Apumzike kwa Amani...
Watanzania wote wako proud baada ya mrembo hamisa mobetto kupostiwa na page mashuhuri ya udaku marekani TheShadeRoom. Mrembo huyo amepostiwa kama ndio girlfriend mpya wa mwana muziki na...
Wimbo wa msanii nguli wa bongo flava Harmonize unaoitwa sandakalawe, umezuiwa youtube kutokana na kile kinachosemwa kuwa ni kukiuka hakimiliki za kampuni ya usambazaji mziki ya EMPIRE. Mpaka sasa...
Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube
Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja
Saizi kaachia...
Mtangazaji maarufu kabisa wa Vipindi vya Mapenzi Diva The Bawse amekiri kuwa kupika hajui ila haolewi bila Mahari ya Bilioni Kumi.
Chanzo: globalpublishers
Binafsi kama GENTAMYCINE nimejiuliza...
Jamaa kazidiwa viewers though alianza yy kupandisha video yake YouTube.. this means hii no2 ndio inatazamwa sana kwa sasa, sasa why no1 haishuki trend?
Diamond amejijenga Sana kimziki Hilo halina ubishi, inawezekana kuna mapungufu pia , hata hvyo katengeneza team work yenye nguvu Sana ,....
Kwa sku za hvi karibuni kapigiwa kelele Sana...
Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa...
Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz.
Busta...
Huyu Bwana napenda sana kuzijua habari zake.
najua aliandika kitabu cha MAKUWADI WA SOKO HURIA, napia alifanya utafiti wa mradi wa kamba kwenye Delta ya mto Rufiji.
Naomba mnisaidie ili nimjue...
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya...
Natambua wazi alijiharibia pakubwa alipojiunga na KAYAFA kupitia kazi zake. Na niliwahi kuandika uzi kumhusu yeye na Konde boy kwamba kitendo hicho kina athari kisanii huko mbeleni.
Kuna ambao...
Haiwezekani kwenye picha kuwe na kijana tajiri anayemiliki escallade 2 na mi mali kibao yenye thamani kama dollar millions 400 ,kijana ambaye hadi anao ujeuri wa kuwatukana forbes na kuwaambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.