Wasaalam wakubwa..I hope mko poa..Here we go,,Kama wiki hivi imepita Kuna albums kubwa mbili zimetoka duniani, Nazungumzia Donda ya Kanye West iliyotoka August 29/2021 pamoja na Certified Lover...
Diamondplatnumz VS Alikiba moja ya battle ambayo iko very strong huwezi kutaja Bongo Flavor without hawa Ma giant Wawili
Bongo Flavor kwa sasa imekamatwa na Diamondplatnumz na Alikiba hao...
"WHO WILL CRY WHEN YO DIE"
" When you were born , you cried while the world rejoiced. Live your life in such a way that when you die, the world cries while you rejoice"
ruge mutahaba...
Huyu nae atutokee hapa na stress zake mxieew, Mil mbili anazijua au anazisikia mxieew, jitu lenyewe limefulia limeenda kukaa kijichi huko kujifanya nyoko nyoko na usikute hata mbwa mwenyew...
Hamornize amethibitisha kuwa anaamini Kajala ni mwanamke sahihi kwenye maisha yake! Akijibu swali la Mwijaku amediriki kutamka kuwa usahihi wa Kajala kwenye mahusiano yake ni 1000%
Uzi tayari
Watu wa mziki tusaidiane kidogo labda mnaweza kunielewesha na nikaelewa zaidi.
Mara nyingi kila nikikutana na battle nani mkali kati ya Drake na Kendrick Lamar comment nyingi huwa zinakuwa kwa...
Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwanini Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond...
Jamaa wanaongozwaga na emotional mbaya sana. Kina Lema na viongozi wake walianzishaga hii kampeni, cha ajabu haijulikani iliishiaga wapi.
CHADEMA kuna umber la viongozi sanaaaa,ni kama kichaka...
WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno,
Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya...
Michael Jordan is by all accounts an NBA legend, having been inducted into the Hall of Fame and leading his former team, the Chicago Bulls, to six championship wins during the 1990s. But to his...
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na mwanaume fulani ila hali ikabadilika na kiapo...
Warumi ni mtu mzima ila ni anatusaidia sana .
Kwa umbeya motomoto na za nyakati.
Warumi ni mtu muhimu sana humu .
Tukimkosa mtu kama warumi sijui tutampata wapi tena .
Je wangapi wanakubaliana na...
Vanessa aweka wazi na sio Siri tena kuhusu uhusiano wake mpya na jaji mwenzake Rotimi aliyekuwa nae kwenye mashindano ya East Africa got talent kwa kusema
Ameamua kuweka wazi japo Ni Siri lakini...
Tangu Mondi anunue Rolls-Royce kuna watu wamekuwa wanasema eti Mondi ndiyo next Bill Gates, wengine eti wametupia picha za Diamond na Rolls Royce yake culinan na kufananisha na Christian Ronaldo...
Ukitaka kujua kuwa ku-shine hapa Bongo ni juhudi zako tu mwenyewe za kupiga kazi usiku na mchana,bila kulala na mwisho wa siku kufikia malengo yako basi mfano wa kuigwa ni huyu Birthday boy...
Mwanamuziki wa miondoko ya hip-hop nchini marekani maarufu kwa jina la Wiz Khalifa, amethibitisha kupitia ukurusa wake wa twitter kuwa amepata maambukizi ya virusi vya corona. Amewatoa wasiwasi...
Dr Louis Shika ana matatizo ya figo kitaalamu tunanaita chronic renal failure stage 5(CKD5HD), alifanyiwa Dialysis Bugando lakini haikuendelea kutokana na upungufu wa pesa, hali ya Dr Shika sio...
Sanaa inahitaji akili nyingi sana na mmoja ya wasanii wanaowekeza sana kwenye creativity ni Kanye West.
Kwa kifupi Donda ni album average tu sio kali kihivyo ila inafanya vizuri sababu ya...