Hiki ndio kinachoendelea huko Twitter na mtandao wa change
Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others
This is a call to BET Awards hosted and produced by Black...
Huyu Papa Msofe nilikuwa namsikia sana na kumjua kama mfanyabiashara maarufu sana. Leo Nimeona kwenye gazeti la The African eti Papa Msofe ambaye jina lake kamili wanasema ni MARIJANI MSOFE ni...
Mziki wa Bongo fleva umefika pabaya, Vijana watatu na lebo zao wameamua kuua mziki, badala ya kufanya mziki wa biashara wameamua kufanya biashara ya mziki, kikubwa ni kuingiza pesa bila kujua wapi...
Anaandika Millard Ayo
"Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol amefungua shauri la talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa ambae ni Raia wa Kenya ambapo kwa mujibu wa taarifa kutoka chanzo cha...
Harmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake. Na...
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook...
Ilikuwa 1986 Legends paying respect kwa legend mwenzao RIP [emoji120] the Brown Bomber..
Hapa Nawaona Joe Frazier Muhammad Ali, Sugar Ray Leonard
Wakuu endeleeni kuwataja Wengine Kama Mnao Wajua
Mtangazi wa Wasafi FM kituo kinacho milikiwa na Joseph Kusaga amefunguka wazi yeye awezi kamwe kumtafuta msanii yeyote yule amfanyie interview hasa Nandy.
Mtangazi Lily Ommy amesema wazi kabisa...
Kuna sauti ya kike huwa inasoma Classfieds(mfano yale matangazo ya vyuo na shule) pale Cloudsfm kwa ubora wa juu kabisa, matamshi mazuri+sauti nzuri corporate.
Nadhani hakuna msoma classfieds...
Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady.
Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema...
Habari waungwana! I hope wote mpo salama!
Ni muda sasa takribani miezi 10 member ONTARIO haonekani tens humu!!! Nimefuatilia nimegundua Last seen ni January 13 2018.
Mwenye kufahamu acc mpya...
Wakulungwa inakuwaje?
Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa...
Hii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.
Kutokana na...
Huyu mtu inawezekana ni saa sita kasoro, akili zake za kipuuzi sana hakafu anajiita mlezi wa waimbaji wa injili? Labda mlezi wa madanguro.
Ndio maana Flora alijikata haiwezekana aligundua anaishi...
VITA YA VIEWERS NA TRENDING KWENYE YOU TUBE.
Baada ya Ali Kiba kuachia nyimbo yake ya Ndomboro na nyimbo hiyo kutrend kuanzia audio, dance akiwa na mwanae pia video yenyewe sasa official Zuchu...
Kiukweli nawakubali sana wcb ila wanakoelekea naona wanatuharibia maadili maana jana nimefedheheka sana.
Jana nlikuwa nacheki hii video na mtoto wa ndugu yangu ambae huwa ananiuliza maswali sana...
First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise"
Back to my topic.
Nikki wa Pili...