Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwa upande wangu naona hili bifu limemuathiri zaidi Rayvanny, nimegundua baada ya kwenda you tube na kuangalia video ya keleb ya Rayvanny, nimesoma comments nikafamu Kuna watu wanetoa negative...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Baba ana watoto wawili mmoja bado yuko nyumbani(Ray vanny) anapata support ya familia kwa kila kitu na mwingine(HARMONIZE) ameamua kwenda kujitegemea kimaisha anajitegemea kwa kila kitu(jeshi)...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Sikupata nafasi ya kusikiliza audio ya KELEBE ya RAYVANY.... Basi nkaona si mbaayaaa kuangalia video nipate pia wasaa wa mashairi pia. LAHAULAAAAAAAAA...... Pengine ndo mziki mzuri kizazi hiki...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa...
24 Reactions
101 Replies
11K Views
Miaka ya nyuma huyu jamaa alitamba na kibao "Elimu ni biashara tutasomaje?" Sijamsikia kwenye muziki siku nyingi na sijui yupo wapi na anashugulika na nini?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama Una Binti Yako Na Hawa Ndio Wakawa Marafiki Zake Basi Jua Kabisa Hauna Binti, Kwisha Habari Yake... Team LGBT
5 Reactions
332 Replies
31K Views
Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla...
40 Reactions
92 Replies
13K Views
Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa. List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa...
3 Reactions
69 Replies
11K Views
Hii ni baada ya masharti ya hovyo ya Sheria za Basata za kuruhusu wimbo upigwe redioni ama uonyeshwe kwenye TV . Ney amesema atatunga na ataimbia mitaani na ikiwezekana atasambaza mtaa kwa mtaa...
11 Reactions
43 Replies
4K Views
DMX ambaye jina lake la kuzaliwa ni Earl Simmons amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 50 Mnamo tarehe 3 Aprili 2021, alilazwa katika Hospital ya White Plains iliyoko Jijini New York ikielezwa...
9 Reactions
204 Replies
22K Views
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba. Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa...
1 Reactions
172 Replies
16K Views
Mtoto wa Muhubiri maarufu TB Joshua, Serah Joshua leo anafunga ndoa na Brian Moshi wa Sinoni mkoani Arusha. Picha wakiwa wanatoka katika nyumba ya Mapadri wa Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria...
6 Reactions
45 Replies
8K Views
Wakuu habarini za muda huu. Uzi sio mrefu sana. Kwa heshima na taadhima naomba leo ni mlete kwenu kijana huyu kutokea South Korea aliyezaliwa mwaka 1987 huko Seoul. Mambo mengi kama maisha yake...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joseph Kimario ‘Master Jay’, ameweka wazi mpango wake wa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Sara Kaisi ‘Shaa’. Master J amesema Shaa atakuwa mke...
9 Reactions
96 Replies
20K Views
Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel ya Kebbys, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
20 Reactions
153 Replies
17K Views
Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake. Sasa swali ni kuwa...
2 Reactions
81 Replies
16K Views
HUYU NDIYE LEE BYUNG HUN Kama umeangalia IRIS kipindi kile inaoneshwa ITV basi huyu jamaa utakuwa unamfahamu. Kwenye IRIS alitumia jina la Kim Hyeonjun agent wa South Korea aliyesalitiwa na...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha. Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa...
25 Reactions
154 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…