Huyu jamaa nimemcheki kwenye get out na Judas and the black Messiah anaijua kazi yake. Ni muingereza mwenye asili ya Uganda. Kwenye Get out alikuwa nominated tuzi za Oscar. Kwenye Judas and the...
By Sangu J
Kama nilivyokiri awali kwenye Makala yangu kwamba mimi ni mshabiki mkubwa wa @wcb_wasafi na wasanii wote waliokuwepo humo, na kueleza mambo ambayo Harmonize ili aweze kufanya vizuri...
Unaijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa...
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefichua siri kuwa wakati Diamond akiwa na Zari walikuwa wanakutana na kwa siri na akafanikiwa kutundikwa mimba tatu na Diamond ambapo mbili zilitoka na moja...
Ki ukweli bora walivyoitoa, movie mbaya sana, story haieleweki, sauti mbovu , uigizaji ndo kabisa, what a waste of time, nadhan hii ilitengenezwa tu na wahuni wenye pesa zao wakajipenyeza na wao...
Mwanadada Faiza Ally akiwa kwenye interview na Zamaradi TV ameelezea maisha yake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi kuanzia kukutana kwao, kuachana na hadi ugomvi wao wa kuhusu matunzo ya...
Ametangaza kuanzia kesho anajitoa Basata kutokana na sheria zao kandamizi,hatopeleka tena nyimbo redioni bali atafanya mziki mtaani.
maamuzi ya Nay yamekuja baada ya wimbo wake wa Mama kupigwa...
Msanii wa kizazi kipya Emanuel Elibarik alimaarufu kama NEY wa mitego amekamatwa asubuhi hii huko morogoro
Sehemu ya wimbo wa Ney wa Mitego:
Hivi Uhuru wa Kuongea bado upo? Siamini nchi...
Ndugu zangu!
Ni nyimbo mbili tu alizozifanya kwa umahiri na njonjo zilitosha kumleta mjini. Nazo ni 'Anaitwa Roma' na 'Mkombozi' acha ule mwingine. Zote akishirikishwa na Roma Mkatoliki na...
Msanii wa mioyo ya watu wakuitwa Rayvanny au watanzania wanamuita Chui, amezidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba East Africa.
Ni msanii mwenye maneno machache sana ila ana numbers kubwa sana...
Watangazaji sasa wanabadilisha vituo kama team za soccer.
Gadner katoka Efm kaenda Clouds.
PJ na Hando wametoka Clouds wameenda Efm.
Jabir saleh na Bi Hindu wametoka Times fm wameenda Efm...
Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba
Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde?
Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list...
Quite a sad day for rap fans as the game just lost one duo of the rap group Mobb Deep today. Aged 42, rapper Prodigy is said to have died of sickle cell complications.
Personally, whenever I hear...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake.
Hii...
Nasikia yupo mkoani Shinyanga, ni msaniii ninayekubali sana kazi zake nataka nimpe pongezi tu na kumshukuru japo hata kaposho kidogo nikimtumia sio mbaya ambaye yupo karibu naye amsalimie sana...
Anafahamika kwa jeuri yake na uwezo wake wa kupiga gita ya solo,mwimbaji pia na alikuwa kiongozi wa bendi ya Matchatcha ya kisangani.
Hakika watu kama Kanda Bongoman, Pepe Kale, Franco na Arlus...
Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia .
Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia...
Tangu akiwa mbunge,huyu bwana hussein bashe amekua na tabia kama mtoto mdogo za kula kucha..hata baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa kilimo bado ameendelea kula kucha,kama kuna mtu yuko karibu yake...