Aliyekuwa mshambuliaji nyota wa vilabu vya AC Milan, Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robinho, amehukumiwa kufungwa miaka 9 jela na mahakama ya rufaa ya nchini Italia, baada ya kukutwa na...
Mkali wa ‘Hot Boy’ Bobby Shmurda amehukumiwa
kwenda jela miaka 7. Mwezi uliopita, Bobby alikubali mashataka
yaliyokuwa yanamkabili ya kumiliki silaha kinyume
cha sheria, Japo alidai kuwa...
Priyanka Chopra(38) amesema yeye na mumewe Nick Jonas(28) bado hawana mtoto sababu yupo busy sana na kazi kutokana na mikataba aliyosaini hivyo inakuwa ngumu kwake kubeba mimba kwasasa lakini muda...
Dah ebhana sio poa. Naona King.kiba ameamua awe serious Sasa na mziki maana sio poa na hizi back to back songs
Somebody is the one of the best song / best collabo of the month
Getty ImagesCopyright: Getty Images
Lady Gaga ametangaza donge nono kiasi cha dola za Marekani 500,000 kwa yeyote atakayewarejesha mbwa wake wawili baada ya mtu mmoja kuwaiba na kumpiga risasi mtu...
Jennifer Gates, 24, is the eldest daughter of the billionaire philanthropists Bill and Melinda Gates
She has two younger siblings, Rory and Phoebe.
While their father might be famous for...
Yuulee star maarufu wa huko USA ambae umaarufu wake umetokana na sababu nyingi zikiwemo zile neema kubwa kubwa ametia nia mbele ya korti za Taifa hilo nambari moko akidai talaka kwa rapa mashuhuri...
Kuna mtangazaji,..wa abud fm nimemsikiliza kwa umakini mnoo ila nimeshindwa kumuelewa Ni DULA wa East Africa radio au sauti zinafanana tu...mwenye uelewa wa hili Jambo anijuze..
Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana...
Jamani huyu mwanamuziki yupo wapi kwa sasa, jamaa alikuwa na sauti nzuri sana enzi zake akiimba sambamba na Banza Stone pale TOT Plus.
Mwenye taarifa alipo hivi sasa atujuze
---
Waziri Sonyo ni...
Tuliambiwa kuwa anarudi kwa kasi ya ajabu kuja kuifufua taarabu iliyoonekana kupotea. Safari hii akitumia Safina na si Jahazi tena!
sijafanikiwa kusikia chochote mpaka muda huu.
Nimeona muda...
Sakata limetokea kwenye mitandao pendwa wa Instagram baada ya Bwana majizzo kupost mjengo mpya rasmi wa efm (piacha na maelezo ya majizzo pichani)
Bibie lulu nae hakubaki nyuma akapost kumpongeza...
Akihojiwa kwenye kipindi cha "on point" kuhusu video ilisambaa akionekana binti akifanya mapenzi na kufanishwa na binti yake anaitwa Paula aliezaaa na msanii wa bongo movies, Kajala, Producer...
Tarehe 15.02. Ilikuwa ni happy birthday ya Birdman katimiza miaka 52.
Tarehe 16.02 Ilikuwa happy birthday ya ICE T katimiza miaka 63.
Emu wape neno hawa ma HipHopMogul uniambia ngoma gani...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ile ndoa iliyosubiriwa sana na kusemewa maneno mengi hatimaye imefungwa.
Lulu na Majizzo wameoana leo kanisa la mtakatifu Gasper na inasemekana wako Serena hotel hivi...
Alpha Blondy aliwahi kupewa jina la Bob Marley wa Afrika kutokana na umahiri wake katika muziki wa Reggae.
Siku ya leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ametimiza miaka 68
Baadhi ya...
Hii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi.
Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo...
Huu uzi, ni mfupi lakini ni ushindi mkubwa sana kwa ma Erudite wachache tuliobaki nchi hii. Otherwise tukiwachekeachekea hawa watu wanaoitwa mastaaa na wanasiasa kuna siku watakuja na mauongo...