Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kuna post leo inatembea Instagram na maelezo nusunusu, basi wanavyo ipaisha inaonekana kama Zamaradi ndo katengeneza filamu kali inayokuja kuleta mapinduzi. Huyo mwandishi wa filamu hiyo myenyewe...
10 Reactions
54 Replies
8K Views
Huko katika ukurasa wa Instagram baada ya kusemekana kuwa mtoto wa kajala hakuwa na matokeo mazuri katika mtihani wa kidato cha nne, mastaa mbali mbali walijitokeza kwa wingi wakimkingia kifua...
35 Reactions
185 Replies
25K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Hayawi hayawi sasa yamekua, ile ndoa iliyokua ikisubiriwa kwa hamu baina ya staa Elizabeth Michael, Lulu na Majizo imewadia, baada ya Ndoa yao kutangazwa rasmi leo katika kanisa la mtakatifu...
25 Reactions
212 Replies
35K Views
Nimechukua screen shots huko insta, hebu angalia.... .
1 Reactions
75 Replies
23K Views
Mji umezidi kuwa mzito aisee mwanadada Hamisa Mobeto ameandika barua ya kumshitaki Kajala kwa kutoa tuhuma za uongo kwenye post yake aliyopost hivi karibu. Kamwambia Kama atamuomba radhi kwa...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Mwaka 1994 Radio One FM Stereo ilikua radio station binafsi ya pili kuanzishwa baada ya Radio Tumaini iliyoanzishwa kwa majaribio mwaka 1993. Ni dhahiri ilitokea kuteka Dar Es Salaam yote pamoja...
9 Reactions
71 Replies
24K Views
Naam. Jabali la muziki Marijani Rajabu aliachwa kwenye mataa na mwanamke mchana kweupee barabara ya Uhuru Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kwa lugha ya mjini iliyotoholewa kutoka kwa mkasa kama...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
1.BARAKAH DA PRINCE ni moja kati ya msanii aliyekuwa anakuja vizuri sana katika tasnia ya bongo fleva mpaka kuna kipindi alikuwa anahofiwa na wasanii wakubwa nchini lakini huyu jamaa ana jeuri...
11 Reactions
87 Replies
10K Views
Kwa akili ya kawaida mwanaume anaejielewa hawezi kufanya haya. Imefika wakati baada ya mazoea ya kusuka "twende kilioni" naona kaanza kuvaa na zile ''hereni kubwa" za akina mama. Muda utaongea...
12 Reactions
130 Replies
15K Views
Msanii mkongwe Ali Kiba ametangaza rasmi kuja na album yake hivi karibuni. Alikiba kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba mashabiki wake ku subscribe kwenye akaunti yake ya YouTube ya Alikiba...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo nimechukua muda wa masaa matatu kuisikiliza nyimbo Mpya ya uyu IBRAH wa KONDE GANG ambayo inaitwa nipende Uyu dogo ana kipaji Cha Hali ya juu na Ni fundi wa kuimba staili na mitindo...
6 Reactions
40 Replies
6K Views
STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’, amekanusha vikali madai ya kurudiana na baba mtoto wake, prodyuza Paul Matthyasse ‘P Funk’. Madai hayo yalikuja hivi karibuni baada mwanamama huyo...
2 Reactions
36 Replies
13K Views
Hatuwezi kuvumilia utovu wa maadili kiasi hiki. Huu wimbo wa Ney wa Mitego uitwao "kwa mpalange" sina haja ya kuuelezea ni wimbo mchafu mno kuanzia tu na jina lake eti "kwa mpalange"?. Kama...
4 Reactions
82 Replies
12K Views
Mpaka sasa taarifa inayotambaa na kutrend mitandaoni ni inshu ya msanii wa kizazi kipya Don Nalimison maarufu kama Deo Kisandu kuachia album yake iliyopewa jina ANTIBIOTIC ALBAM. Baada tu...
39 Reactions
81 Replies
9K Views
Wanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town. Je, ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana...
3 Reactions
72 Replies
9K Views
Naomba kujua alipo kwa sasa huyu mwamba wa hip hop.alitamba na ngoma zake mbili: nakupenda hip hop na waite polisi.
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari. Ukitazama wasanii wa kike wa bongo wa wapo wapo hata hawaelewi wenyewe nini wanafanya kwenye tasnia ya mziki ukiongeza na maisha yao binafsi. Wamekuwa maisha yao binafsi ndio wanatumia...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Da mimi kama mpenzi wa hip hop na mpenzi wa kundi la Wateule nilosikitishwa na performance yao mbovu pale jukwaani. Mtu pekee aliyelitendea haki jukwaa ni Jaymoe, kwanza alikuwa anaimba bila play...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Wasalaam wanajamvi. Kama mnakumbuka ujio wa Nandy alianza baada ya Ruby kukorofishana na Clouds media. Watu wengi nikiwapo mimi walikuwa wana doubt sana kipaji cha Nandy toka awali.. na kama...
13 Reactions
170 Replies
21K Views
Back
Top Bottom