Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Orodha ya watu matajiri zaidi Afrika mwaka 2021: 1. Aliko Dangote ana thamani ya $12.1b 2. Nassef Sawiris ana thamani ya $8.5b 3. Nicky Openheimer thamani ya $8b 4. Johann Rupert ana thaman ya...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Deo Mwanambilimbi Alain Mulumba Kashama IDARA ya Uhamiaji imewatia mbaroni wanamuziki mashuhuri Deogratius ‘Deo’ Mwanambilimbi, rapa maarufu Alain Mulumba Kashama na Mwenabantu Kibyabya Michel...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Huyu ni Saleh, almaarufu 'Saigon'. Mwanachama wa-miongoni mwa makundi ya awali kabisa kuwahi kutamba katika tasnia ya muziki wa Hiphop. Hapa tunazungumzia mwanzoni kabisa mwa miaka ya 90. Jamaa...
11 Reactions
120 Replies
19K Views
Ila hii familia Ina nuksi kwenye masuala ya ndoa, familia Nzima hakuna mwenye ndoa ya kueleweka. Isihaka kashajua Queen Darleen hana undugu na Diamond kaamua kumuacha(jokes[emoji16]) Umbea wq...
7 Reactions
43 Replies
8K Views
Pesa inaongea
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Simwelewi huyu mwamba wa Chitoholi, 2 years before he was the fastest rising singer in bongo fleva history , alikuwa fire Sana pale WCB, kichwa chake kilikuwa kimetulia na alitoa mawe Sana ...
20 Reactions
147 Replies
20K Views
Wakuu, Kama mjuavyo Lady Jay dee ni msanii mkongwe hapa nchini Tanzania. Na amekuwa akifanya vizuri katika muziki huu wa Bongo. Katika vitu nilivyojifunza kwa mwanadada huyu mkongwe wa muziki...
6 Reactions
149 Replies
29K Views
Ni kama nilichelewa kumsikia huyu mwamke mwenye muziki mtaamu wazazi wake waliamuu kumpatia jina la Sia. Mwanamuziki kutokea Australia alieifanya sauti yake kusikia nyema ndani ya Marekani na...
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Huyu jamaa ni kipindi saa yuko kimya, nilikuwa naelewa sana ngoma zake kama elimu mtaani dot com, na nishike mkono. Jamaa alikuwa mgumu sana katika kila kitu mpaka lifestyle lake, ila ni ipindi...
5 Reactions
94 Replies
17K Views
Dar es Salaam. Msanii wa muziki wa bongofleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema endapo sheria itamtaka kubadilisha ubini wake anaotumia sasa atafanya hivyo Ameyasema hayo ikiwa ni...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Afisa habari wa Simba SC Haji Manara maarufu kama De La Boss ni moja kati ya watu maarufu sana katika michezo kwa sasa. Haji sio tu ni maarufu katika michezo bali ametokea katika familia ya...
16 Reactions
48 Replies
7K Views
Zuchu amefikisha views million 100 kwenye mtandao wa YouTube ikiwa ni miezi 9 tu tangu aingie rasmi kwenye muziki. Mpaka sasa hakuna msanii wa kike Africa Mashariki na Kati aliyeweza kufikia hizi...
18 Reactions
110 Replies
11K Views
Wasalaam Wana jamvi. Msanii Baba Levo ameweka wazi kuwa anatamani Mungu amchukue hata leo ili watoto wake walelewe na Diamond. Baba Levo amesema hayo akieleza hisia zake baada ya Diamond...
8 Reactions
97 Replies
11K Views
Wanawake takriban 15 wamejitokeza na kudai kuwahi kufanyiwa vitendo vya kikatili na T.I. pamoja na mkewe Tiny Harris. Wanawake hao wamejitokeza kupitia ukurasa wa mwanadada Sabrina Peterson...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Alikuwa muigizaji mzuri sana. Kaishiaga wapi simsikii tena?
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Wanajukwaa kuna kitu nafikiria kufanya nacho ni kuwa naleta habari za wasanii wa Congo,tafsiri ya nyimbo zao nk. Sasa naomba wanaopenda waseme ndioooo na wasiopenda waseme siooooo kabla sijaendelea
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Mwanzilishi, Mkurugenzi Mkuu, Fundi Mkuu na Mbunifu Mkuu wa kampuni ya SpaceX inayojihusisha na utengenezaji wa vyombo vya kusafiri na kufanya uchunguzi katika anga za mbali; pia mwekezaji na...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul.. Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa...
96 Reactions
107 Replies
15K Views
Leo record mpya imeandikwa na Zuchu katika bara la Africa. Amekuwa msanii wa kwanza wa kike kufikisha views million 1 kwenye YouTube ndani ya masaa 22. Hongera queen wa bongofleva.
6 Reactions
36 Replies
5K Views
Jana kwanye show ya Wasafi tumewasha na Tigo ilibidi show ighailishwe baada ya Rayvany kucheza nyimbo yake ya Nyegezi akaanguka na kuvunjika mikono yote miwili.
6 Reactions
46 Replies
7K Views
Back
Top Bottom